Hali hii inatisha kwa tv zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali hii inatisha kwa tv zetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wizaga, Feb 7, 2012.

 1. wizaga

  wizaga Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijaona kama jambo la kawida chombo au vyombo vya humu nchini kutoripoti kikamilifu habari ya mgomo wa madactor,ninavyoelewa chombo cha habari kinampa taarifa mwananchi hali halisi ya siku haitofautiani na kutoa hali ya hewa.madr mabingwa wamegoma na hali mbaya kwenye utoaji huduma vyombo vya habari vinawajibu kila wakati kuwajuza watu ili watafute mbadala mfano TBC jana jioni haikugusa na kuliona ni jambo la kawaida na bado ni chombo cha serikali.badilikeni acheni siasa kwenye mambo yasiyo na mzaha
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tanzania huu mtindo wa kuchukua waliofeli na kuwapeleka uandishi wa habari na ualimu umeligarimu taifa sana.
   
Loading...