spika Anna Makinda apinga hoja ya Mh zambi ya kutaka kujadili mgomo wa madaktari bingwa

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
mh godfrey zambi alitoa hoja kwamba kwa kuwa kuna taarifa ya mgomo wa madaktari bingwa basi ni vyema bunge likajadili suala hili katika hali ya dharura.spika makinda alipinga hoja hiyo na kusema halitajadiliwa mpaka kamati ya bunge.hapo hapo akakataa taarifa na miongozo yoyote kutoka kwa wabunge.baadhi ya wabunge wanaonekana kukerwa na wameanza kutoka nje.
 
yaani bunge lililoongozwa na mh.sitta lilikuwa zuri kweli....huyu maza msanii tu
 
Back
Top Bottom