Halima Mdee...Tafadhali Sema Neno moja tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima Mdee...Tafadhali Sema Neno moja tu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Feb 7, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hi.
  Tulifahamishwa na JF Marketer kuwa Halima Mdee angejiunga na Majamvi yetu kwaajili ya kutupa updates mbalimbali za kisiasa hasa kutokea Bungeni, lakini pia kwa kuzingatia kuwa kulikuwa na mada moto sana iliyoachwa na Regia Mtema(RIP) iliyowataka wanajamvi kuorodhesha Changamoto/ Kero zinazotakiwa kutazamwa kwa jicho la upendeleo na vyombo vya maamuzi.

  JF Marketer amejitahidi sana kumshawishi Halima, na bahati nzuri Mheshimiwa huyu alijiunga rasmi 5/02/2012 kwa majina yake halisi, lakini hakuna mahali inapoonekana kuwa ameandika hata sentenso moja, japo ya Utambulisho, ukilinganisha na jinsi wanajamvi walivyoichangamkia thread ya taarifa za kukubali kwake kuwa angekuwa member.

  Ukiachilia mbali hayo, kuna taarifa zinazomhusu moja kwa moja Mh.Halima na jimbo lake la Kawe, kuwa kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge wake imefutwa, na kwamba CDM jana ilipiga magoti kuwabembeleza Viongozi wa Nccr Mageuzi ili kuifuta kesi hiyo.

  Binafsi nilikuwa naona, pamoja na kuwa kwake busy Bungeni, Mh. Halima angetenga muda japo kidogo wa kuja kutujuza chochote kwa kauli yake binafsi, kuliko kuwa kimya kama alivyo sasa.
  ..

  Nawasilisha.
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Halima Mdee atakuja muda si mrefu unajua kesi yake na James Mbatia ilikuwa imemkalia vibaya bahati nzuri wamemalizana kiungwana.
   
 3. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Tayari ameshajisajili humu ila sijaona post wala comment yake, unaweza kum-pm
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Jamani mambo mengine yanaenda na hobby ya mtu kama hatumii internet muda mwingi hapa nisawa na kumlazimisha punda kunywa maji ndo maana amemua apotezee hata akina Lucy Owenya hawapo hapa JF sijui wanaingia kama Guest?
   
 5. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Karibu kimaandishi Mh.Halima Mdee...
   
 6. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Tayari ameshajisajili humu ila sijaona post wala comment yake, unaweza kum-pm ,
   
 7. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tuvute subra....atakuja live bila chenga. Tena ninahisi kama siyo leo ni kesho
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Malaria sugu ndiye alitoa wazo la Halima Mdee kujiunga na JF baada ya kifo cha Dada yetu mpendwa Ragia Mtema.Kwakuwa Halima Mdee tayari ameshajiunga na tunatarajia michango yake very soon si vibaya tukampongeza Malaria Sugu kwa wazo lake zuri.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkubwa Ngongo,
  MS alipongezwa sana na baadhi ya watu hapa, nikiwemo mimi binafsi!...japokuwa baadhi ya members walimporomoshea matusi ya mfululizo.
  Kwa muda huu naanza kuhoji PONGEZI yangu!
   
 10. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Nadhani tuwe na subra soon atakuja
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Tayari Chadema wameishatangaza kurejesha upya ushirikiano na NCCR Mageuzi, na Slaa, na Ruhuza wamewambia waandishi wa habari kesi imefutwa.

  Makatibu hoa walisema hayo mbele ya wakili wa Mbatia na
  wakili wa Mdee.

  Au wewe mpaka Halima Mdee ajitokeze ndio uamini?
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Kamanda PJ maandishi ya red sijakuelewa.

   
 13. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tuwe na subira kidogo, maana twajua ya kuwa Kamanda yupo Bungeni kwa kutetea maslahi ya wananchi. Pamoja na mtoa mada kuomba atenge muda kidogo naamini atafanya hivyo
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkubwa ,
  Nina maana huenda nililimpongeza MS kwa mapendekezo ambayo hayana tija niliyoitegemea...no hidden agenda mkuu.
   
 15. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,555
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  Labda kama watu wana interest zingine lakini kama just kuchangia nae mawazo humu jamvini naamini yupo na anachangia sana tu.Tuendelee kumaintain JF rules kwamba kutumia au kutotumia jina halisi ni uamuzi wa member mwenyewe bila kushurutishwa.Wengine wanaprefer kutumia nick names jamani,we got different personalities.Hata kama ameregister kwa jina lake ni kuwaridhisha tu watu ambao walimtaka ajiunge Jf huku wakiwa hawana uhakika kama ni member au la.Mdee jisikie huru kuwa vile unavyotaka,afterall you are doing good i apreciate you very much and i like your silence in social media.Be you!
   
 16. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  aje basi naanza kuhisi changa la macho
   
 17. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nia ya MS si positive kama mnavyodhani..

  Si mpenda mageuzi,ila labda yawe na mwelekeo wa kuiridhisha nafsi yake hususan kwenye mambo ya imani yake..
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ngongo.
  Mbona Halima Mdee, tunae humu kila siku nimeishakwambia tena anaongoza kwa ban.
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ritz!
  Unaleta mizaha gani hii kwenye thread aisee?...funga mdomo, au la taja ID unayodai kuwa anaitumia, only if you are sure!
   
 20. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ngoja nimp nawaletea huyu kamanda sio mda.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...