Mgomo wa madaktari waathiri shughuli za kielimu muhas | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari waathiri shughuli za kielimu muhas

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyalotsi, Feb 7, 2012.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kutokana na hali inayoendele katika hospitali ya taifa kazi ya usomaji imekuwa ngumu kwa wanachuo wa mwaka wa 4 na 5 paoja na postgraduates. Mtaji mkubwa kwa wanachuo ni wagonjwa wanaolazwa mnh na maspeshalist wa hospitali hiyo. Hivyo mpaka sasa hata waliokuwa wanajiandaa na mitihani yao hawajui nini kitafuata ndani ya hizi siku amazo kuna danadana za utatuzi wa hili suala huku wanasiasa wakiona nidharura kujadili marekebisho ya katiba kuliko suala la mgomo. Hata hivyo kuna tetesi kuwa huenda masomo yakaahirishwa mpaka hali itakapotengamaa. This is my observation.
   
Loading...