Je, inawezekana kuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoka Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, inawezekana kuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoka Zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kkitabu, Dec 30, 2011.

 1. k

  kkitabu Senior Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi binafsi naona itawezekana baada ya Katiba Mpya kurudisha Serikali ya Tanganyika. Naomba wananchi wenzangu wa Zanzibar wakati wa kuandika Katiba mpya ukifika idai serikali ya Tanganyika mtaendelea kuwa wagombea wenza mpaka lini?
   
 2. k

  kuzou JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hiyo ugombea mwenza ni nyongeza tu kwao.wana raisi na makamu wawili sasa uraisi wa muungano hata wakikosa poa tu
   
 3. k

  kkitabu Senior Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hiyo ugombea mwenza ni nyongeza tu kwao.wana raisi na makamu wawili sasa uraisi wa muungano hata wakikosa poa tu
  Umesema kweli kwamba ni nyongeza lakini lazima uwepo wa serikali ya Tanganyika utambuliwe kwenye katiba.
  Umesema kweli kwamba ni nyongeza lakini lazima uwepo wa serikali ya Tanganyika utambuliwe kwenye katiba.
  UUmeseama kweli kwa mba ni
   
Loading...