Tabora,ni wageni kweli au wazinzi?. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabora,ni wageni kweli au wazinzi?.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kuyelayela, Feb 7, 2012.

 1. K

  Kuyelayela Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi,leo nilitoka dar kuja tabora na basi la nbs ambalo lilichelewa kufika.Hivyo kwa sisi wageni ilitulazimu kutafuta nyumba za wageni.Nimezunguka karibu mji mzima ukiuliza zimejaa.Kwenye vitabu vyao ni.Tabora to tabora.
   
 2. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  umezunguka nyumba ngapi? kuna Nyumba ngapi za kulala wageni na zenye ukubwa gani ukilinganisha na idadi ya wageni wanaoingia mjini? pengine nyumba ziko chache!
  pole sana, siku nyingine ubebe tent kuepusha hiyo hadha!:poa
   
 3. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  duuu!! siku hizi ngono tupu kila kona!
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Labda alitafuta nyumba za bei poa ambako watu na wenzao wa bei poa wanahudumina.
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Naona unachokonoa meno mkuu :focus:
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he ulizunguka tabora nzima?
   
 7. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,972
  Likes Received: 20,334
  Trophy Points: 280
  Umezidi utembezi kama jina lako:focus: Vyuo vya uhazili na wakazi wanasababisha kukosekana kwa vyumba ha hahhahha
   
 8. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Hii ni kweli kabisa, wana JF hata mimi nilipata shida sana hasa kipindi hiki wanafunzi wa chuo cha uhazili walipofungua chuo... dada zetu wa uhazili mjirekebishe sifa yenu imekuwa mbaya
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ungeenda kwa mkuu wa mkoa kuomba hifadhi
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  we ulijuaje ni tabora to tabora
  kama ulikosa room ulionaje kitabu?
  sababu hapo hukujiandikisha?


  unauhakika na unachokisema?
  au unataka kutujuza upo igunga?
   
Loading...