Wamama wajawazito wanakufa na vichanga tumbon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamama wajawazito wanakufa na vichanga tumbon

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dik, Feb 8, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nimesikia taarifa ya habari wagonjwa na kina mama wakilalama wagonjwa kupoteza maisha,zaidi kina mama wajawazito wakipoteza maisha kabla ya kujifungua!zaidi ya yote kuna thread inataarifu juu ya maandamano dar kukosa watu?

  HIVI WAKAZI WA DAR MMELOGWA? HAMUONI KAMA HII NI HATARI?HADI MGONJWA ASIMAME MWENYEWE KUTETEA NA KUDAI HAKI ZAKE?

  WAKAZI WA DA MNATENDA DHAMBI KUTOANDAMANA NA MUNGU ATAWAADHIBU KTK HILI!JITOKEZEN KWA WINGI KUWAUNGA WENZENU MKONO!MIMI NAANDAA BANGO HAPA A TOWN KUKINUKA LAZIMA NIINGIE RODI ARIFU
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Na shukru mungu wakwangu aliponea chupu chupu...
   
 3. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wakiandamana mnasema wanahatarisha amani kwa kutafuta umaarufu! Watanzania tesekeni hadi hapo mtakapopata akili kuondoa ushabiki wa Yanga na Simba kwenye siasa! Hiyo serikali mnayoilalamikia mliichagua wenyewe kwa ushabiki wenu. Sasa vilio vya nini?
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kwa nini na wewe hukwenda kuunga hayo maandamano?
   
 5. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kazi kweli kweli kuishi tanzania
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  ni wazi sasa! maisha bora yameshindikana!
   
Loading...