kulikoni kipindi cha wanawake live channel 5!mtania kinyaa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kulikoni kipindi cha wanawake live channel 5!mtania kinyaa!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Feb 9, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  hiki kipindi cha wanawake live,kinachozungumzia mambo ya wanawake kilikuwa na lengo zuri wakati kilipoanza,cha ajabu cku hizi kimekuwa kama sehemu wa wanawake kwenda kuonyesha mapaja yao,kwani nguo wanazovaa kuanzia huyo host wa kipindi(kilia) na wageni waalikwa nguo wanazovaa zinakuwa fupi sana hadi inakuwa shida kukaa!au huwa ni sharti mojawapo kwa wageni wa kipindi hicho kwani cku hizi kila mgeni,watu wamejichubua utadhani kiti moto!mnatia kinyaa.kuna dada mmoja ktk kipindi cha juzi j4,mpaka kufuri linaonekana!
   
 2. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Biashara ni mtangazo ndugu!
   
 3. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wale wameolewa na wazungu, hivyo wanatuonyesha mambo ya kizungu
   
 4. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mkuu we ni noma,aya tudokeze hilo solex lina rangi gani?maana mi ckuliona,au ulitumia binocular
   
 5. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shame!
   
Loading...