Wanaharakati ni Musa wa Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaharakati ni Musa wa Watanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Feb 8, 2012.

 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa waaminio biblia(ingawa sina uhakika kama hadithi hii iko pia ktk Q'uran Tukufu)tunakumbuka jinsi wana wa Israeli walivyoteseka utumwani Misri mpaka baadhi yao wakauzoea na kuamini ni sehemu ya maisha yao.Hata Musa alipoanza harakati za kuwakomboa,wapo waliombeza na kumwambia ni bora warudi kufia utumwani kuliko kufia jangwani!Lkn Musa hakusikiliza mtu,alisonga mbele pamoja na wale walioamini kuwa saa ya ukombozi ilikuwa imewadia!Habari za maandamano ya wanaharakati wa LRHC ni kama Musa kwetu Tanzania,wanaashiria saa ya ukombozi.Lkn wapo wanaobeza harakati hizi!Wanahisi serikali haina makosa,tuiache iendelee,ingawa tuna hali ngumu kila kona,baadhi hawaoni taabu!Lkn wanaharakati msife mioyo,mtatuona tukiungana nanyi punde,zibeni masikio msisikia maneno ya wanafiki ya kukatisha tamaa,tuikomboe nchi kwa ajili ya wote!Maji yao ya kuwasha,risasi zao,n.k vitaisha lkn cc tutabaki,na mwisho hata police na jeshi tutakuwa nao ktk ukombozi,tukishinda tutagongesheana glass pamoja!
   
 2. T

  Tanganyika2 Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NDUGU ZANGU, taarifa za hivi punde, kesho saa tatu asubuhi kwa Dar makutano ni kituo cha Sheria na Haki za Binadamu. Waarifu wengine... ingawa twajua serikali yaweza kufunga hapo, wataofika na walio karibu watapata mawasiliano sahihi.... SHIME NDUGU ZANGU wakati ndio huu.

  Mwanza, makutano uwanja wa Furahisha, Bukoba stendi Kuu ya Mabasi, Shinyanga kama kawa, Morogoro, Stendi ya Haisi, Dodoma nje ya Bunge.... ntawaletea taarifa zaidi nnavyopata
   
 3. S

  Shansila Senior Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pa1 daima!
   
Loading...