Ongera wanaharakati kwa maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ongera wanaharakati kwa maandamano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOHNKEKE, Feb 9, 2012.

 1. J

  JOHNKEKE JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 80
  Ni ukurasa mpya baada ya baadhi ya wanaharakati kushiriki maandamano ya kuilazimisha serikali ishughulikie mgomo wa madaktari hapo jana. Nilifarijika kwani naamini ni mwanzo mzuri wa kudai haki kwa watawala wasiosikia na wasio na chembe ya ubinadamu.

  Ninaendelea kusikitishwa na viongozi wakuu wa vyama vya upinzani kushindwa kutoa matamko yenye uzito unaolingana na tatizo au kushinikiza kwa namna tofauti ili kumaliza tatizo hili ambalo ni dhahiri viongozi wetu legelege wameshindwa kutatua.

  Ni kwa njia kama hii ya maandamano ndio tunaweza kushinikiza watawala wawajibike badala ya kujifanya miung watuna kutotaka kushiriki kutatua matatizi makubwa na ya dharura ya jamii.
   
Loading...