Michael Scofield JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 1,225 Reaction score 473 Feb 9, 2012 #1 Namuona mheshimiwa Steven Wassira anang'ang'aa usoni na mikononi yaani yuko mix kama pepsi/mirinda? au kamera za TBC? Yuko hewani jambo Tanzania.
Namuona mheshimiwa Steven Wassira anang'ang'aa usoni na mikononi yaani yuko mix kama pepsi/mirinda? au kamera za TBC? Yuko hewani jambo Tanzania.
Mangimeli JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,151 Reaction score 289 Feb 9, 2012 #2 Acha umbeya carol light unaijua, mbna wee unaitumia ss atusemi.