Doctor na mwalimu nani wa kuongezewa posho?:masanja times fm; | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Doctor na mwalimu nani wa kuongezewa posho?:masanja times fm;

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nanchi, Feb 8, 2012.

 1. nanchi

  nanchi Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kuna mada inayo ongozwa na masanja times FM.masanja anasema doctor ndio muhimu kuliko mwalimu.je ukweli uko wapi wakati bila mwalimu hakuna wasomi?mi naona kwa wakati huu ni doctor coz imesha kua dharura.ila mwalimu best.
   
 2. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  wote wapate malipo stahili kwa umuhimu wa taaluma zao. Na hii haina maana kwamba ENGINEERS mkae kimya.

  EVERYBODY WAKE-UP!!!

  You sleep, they forget you, your kids lack good education & health care, you all die poor, they take what's rightfully yours.

  So, blame nobody.
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
 4. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ukiwa na watangazaja wenye upeo mdogo hawaachi kujidhihirisha kwa mada zao ktk vipindi au michango yao.

  Ukimuuliza, nini makusudi ya mada hiyo? Majibu yake aibu. Ukimuuliza unafikiri watu wenye ufahamu mkubwa wanaweza kupiga simu na kutoa michango yao? Majibu yake utachoka.
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ile ni comedy mkuu.
   
Loading...