pinda kesho kukutana na madaktari saa 3 asubuhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pinda kesho kukutana na madaktari saa 3 asubuhi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Feb 8, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  baada ya kuona mambo yamekuwa magumu hatimaye waziri mkuu mizengo pinda kesho asubuhi atakuwa na mkutano na wadau wote wa afya katika hospitali ya taifa muhimbili.alijifanya kumwaga ugali nao wakamwaga mboga!source Tbc1
   
 2. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  ameamua kuwafuata na sio Madoc kumfuata, maana hapo ndio lilikuwa tatizo; nani amfuate mwenzie ili wakae waongee.

  Hivi Nkya na Nyoni hawajajiuzulu nyadhifa bado, ama kweli mama wana roho kama ya spika Makinda
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo kesho hakuna maswali ya pupa kwa pupa, aka papo kwa papo au hapo kwa hapo. Isije ikawa Kuwa ni mbinu ya kukosa majibu.
   
 4. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Nashauri madaktari wasikubali kukutana na mtu ambaye aliwaambia wamejifukuza kazi kwa kutorejea kazini
   
 5. w

  white wizard JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  baada ya kuona mambo yamekuwa magumu hatimaye waziri mkuu mizengo pinda kesho asubuhi atakuwa na mkutano na wadau wote wa afya katika hospitali ya taifa muhimbili.alijifanya kumwaga ugali nao wakamwaga mboga!
   
 6. m

  mhondo JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Maana yake unapenda/unafurahi wagonjwa waendelee kufa.
   
 7. Mwongozo wa Spika.

  Mwongozo wa Spika. Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HAPANA.
  Sio ushauri mzuri.
   
 8. j

  jigoku JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kimsingi Pinda hana jibu la kuwaambia na nina hakika Pinda hawezi kupata suluhu na madaktari,moja ya sababu ya msingi ni lile tishio lake alilowapa madaktari kuwa kama hawatarejea basi wamejifukuzisha kazi,na isitoshe madai ya madaktari yana mtego kwa serikali maana wao wanataka commitment ya barua kwa kila watakachokubaliana,sasa kama amepanga kupleka siasa za CCM hapo atakuwa amefeli.lakini pia kama anataka kupeleka akili za watoto wa chekechea pia ataula wa chuya,maana wanaweza wakawa wamejipanga kupeleka propaganda na ulaghai kwa madaktari hilo nalo nina mashaka kama litapita,anyway tusubiri matokeo.
   
 9. S

  Shansila Senior Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mm ningekuwa dokta nisingekubali kukutana na PM.
   
 10. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  mi nadhani madocta wasikubali kurudi nyuma, yeye alikubali kulishwa pumba na Nyoni+mponda+nkya akakubali na kujidai kuadress uma kupitia tv yao ccm kuwa madaktari wamekataa kukutana nae, wanataka mishahara mikubwa na posho nyingi etc, akaacha kuadress suluhsho la hayo akaanza kumwelezea Dr Ulimboka na kumkejelì jambo ambalo nalitafakari kama dharau kwa wasomi hawa wanaojua nn wanahtaji. HAKUNA JIPYA LAKUONGEA NA PINDA MSIKUBALI MADOCTA.
   
Loading...