Josephine03
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 752
- 302
Mwanaharakati shupavu namkubali
Wanaharakati wameongea kwa uchungu kweli serikali sikivu isikie hata kidogo.now lusekelo anaongea upuuzi eti madaktari wanaroho za shetani
hajielewi huyu kilajambo anajua mara mchungaji mara siasa
Samahani hivi lusekelo waumini wake hawatoi sadaka? Nauliza ili nikazimie haya anayoyaandika
Wanaharakati wameongea kwa uchungu kweli serikali sikivu isikie hata kidogo.now lusekelo anaongea upuuzi eti madaktari wanaroho za shetani
Kanisani kwake hakuna madaktari wala manesi.No. Nashindwa kuvumilia hizi pumba zake. Hivi madaktari hawali? Hawalipi kodi ya nyumba? Wasipolipa umeme, maji hawakatiwi kwa kuwa ni madaktari? Hawalipi nauli? Hawalipi kodi? Hizo hela za kulipia kipindi anazitoa wapi kama siyo sadaka za hao madaktari. Hili jamaa li mbumbumbu kweli