Familiya tu imenishinda kuongoza ....... Sembuse........!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Familiya tu imenishinda kuongoza ....... Sembuse........!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mizambwa, Feb 9, 2012.

 1. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Kuna baadhi ya Binadamu tunashindwa hata kuongoza familiya zetu ambazo utakuta ina watu kama watano. Je, mtu kama familiya ya watu watano itakushida unaweza kutoka na kutaka kuchaguliwa kuwa kiongozi wa watu wengi.

  Mfano huu ni kwamba ni tabia ya viongozi wetu wa juu, inapotokea kiongozi wa chini ameshindwa kutimiza majukumu yake katika nafasi ndogo tu na yenye watu wachache wanaoongozwa, basi kiongozi mkuu anambadilisha huyu na kumpa nafasi ya juu zaidi inayoongoza watu wengi.

  Mtu anaweza kushindwa nafasi ya Mkuu wa Wilaya, Mkoa; basi mtu huyu anabadilishwa na kupewa Wizara.

  Mtu anaweza kushindwa Wizara anabadilishwa na kupewa nafasi ya kuwa Balozi kuwakilisha nchi.

  SWALI: HII NDIO UTUMISHI BORA WENYE KULETA TIJA KWA TAIFA

  natoa Hoja:

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 2. B

  Bwanamdogo Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa za kibongo za kupeana nyadhifa kwa kuangalia unajuana na nani ndo maana unakuta mtu eti anaanzisha mpaka wizara ya mahusiano ili rafiki zake wasioweza chochote wapate pa kulia. Inauma sana kwa kweli
   
Loading...