Tufanyiwe Tathmini ya Vifo na madhara mengine yaliyotokana na Mgomo wa Madaktari

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Kwa vile PM Mizengo Pinda na Madaktari wamekubaliana kumalizika kwa mgomo na madaktari kurudi kazini, kinachofuata naomba sasa Serikali ifanye tathmini ya vifo na madhara mengine yaliyokana na mgomo huu. Pamoja na kwamba PS Nyoni na CMO Mtasiwa wamesimamishwa kazi, kwa sababu ya mgomo huu, lakini tunataka facts ya vifo vilivyotokea na vile vile wengine zaidi wawajibishwe kutokana na mgomo vifo au madhara hayo.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom