Huu mjadala wa DC na DED unaniboa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu mjadala wa DC na DED unaniboa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M'Jr, Feb 9, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Tangu mjadala huu umeanza naona watu wote wameng'ang'ania habari ya DED na DC lakini napata tabu kidogo, wakati amendments zilizoletwa zinataka kuondolewa kwa DC na kuwekwa DED, wabunge wote wa CCM wanagoma. Hilo sio tatizo kwangu ila tabu ni pale wabunge hao wanapokosa sababu za kwanini wanamtaka DC na sio DED zaidi ya kusema ndiye mwenye polisi, khaaa kwani watu wanaenda kupiga kwata huko?
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kwenye muundo wa sasa virtually ma-DC wanafanya kazi ya kusimamia maslah ya CCm wakati DED akifanya kazi ya kutekeleza majukumu ya serikali kitaalam zaidi, hivyo mara nyingi wabunge hu-side na DC ili kuona kuwa political interests zinatimizwa kwanza
   
Loading...