Hali Ni Tete !

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Bunge likiwa hovyo, Rai akiwa hovyo, Waziri Mkuu akiwa hovyo, Upinzani ukiwa wa hovyo matokeo yake ni wananchi wanajichukulia hatua mikononi na kufanya maamuzi magumu. Huu ni Mwanzo tu, Hongera mama Hellen Kijo Bisimba kwa Kuwasha moto, picha yako ina ujumbe mzito kwa kizazi chetu na vizazi vijavyo. Wewe ni shujaa wetu. Heshima mbele mama, umeanza leo, kesho tutamalizia kazi yako. Wasomi wa JF, usomi wenu hauna mana ikiwa hamuwezi kuchukua maamuzi magumu. Nadiriki kuwaiteni wanafiki kwani hamna machungu na nchi yenu zaidi ya porojo.

Hamna uzalendo, mngekuwa na uzalendo, mngetumia elimu zenu kupigania mageuzi na serikali ya kidhalimu tuliyonayo leo. Nadiriki kuwaita wasaliti, kwa maana raia masikini wanaandamani nyie mpo kwenye mitandao. Tulifuzwa leo na polisi, kesho tunarudi..... nyie endeleeni kuandika, kwani huu siyo muda wa kuandika bali muda wa ukombozi dhidi ya udhalimu wa Serikali mbvu ya kishikaji. Tunamuomba Mungu awalete wanaye 5 tu kama mama Bisimba ili tuikomboe taifa letu !
KIJOBI.JPG

7.jpg

4.jpg

5.jpg

3.jpg

6.jpg

9.jpg
 
Yes Ujumbe umefika hata kama walikuwa wachache na walipita njia ipi ? Wangapi wamekuwa arrested na watafunguliwa mashitaka lini maana humu naona wale kenge na wapuuzi wa CCM wako kimya.Rais kashindwa kutamka neno hadi leo ? Kweli JK kiboko au yuko mbugani anapumzika ?
 
Kule kwetu kuna msemo mtu akikuambia ujue amekutukana mpaka kukuvua nguo,
" kuku ana akili kuliko serikali ya sasa"

(kuku giza likianza kuingia anaingia ndani lakini kwa serikali yetu niishie hapo.........)
 
Bunge likiwa hovyo, Rai akiwa hovyo, Waziri Mkuu akiwa hovyo, Upinzani ukiwa wa hovyo matokeo yake ni wananchi wanajichukulia hatua mikononi na kufanya maamuzi magumu. Huu ni Mwanzo tu, Hongera mama Hellen Kijo Bisimba kwa Kuwasha moto. Wewe ni shujaa wetu. Heshima mbele mama, umeanza leo, kesho tutamalizia kazi yako. Wasomi wa JF, usomi wenu hauna mana ikiwa hamuwezi kuchukua maamuzi magumu. Habari ndo hiyo
KIJOBI.JPG

7.jpg

4.jpg

5.jpg

3.jpg

6.jpg

9.jpg

Mleta umeleta habari njema ila kutukana watu hapa wewe ni mpuuzi na kweli wewe ni Muke ya Mzungu endelea kuliwa .Wana JF unajuaje kama Kishimba si mwana JF unajuaje kama mie Lunyungu sikuwepo na wengine hapa ? Acheni za mayai hizo na matusi ya leja leja .
 
Nimemuangalia Mama Bisimba hadi roho imeuma, vijana wote tunasubiri huyu mama asimame kuhoji serikali???? its a strong message and we have to do something
 
Mleta umeleta habari njema ila kutukana watu hapa wewe ni mpuuzi na kweli wewe ni Muke ya Mzungu endelea kuliwa .Wana JF unajuaje kama Kishimba si mwana JF unajuaje kama mie Lunyungu sikuwepo na wengine hapa ? Acheni za mayai hizo na matusi ya leja leja .

Mkuu siyo kukudhalilisha au vipi, unajua JF tuna uwezo wa kuliondoa hii serikali madarakani lakini tatioz ni MODs. Unapoweka mada inayojaribu kusukuma watu kuandamana au kufanya organization ya maandamano, unatishiwa wanachoa mada yako au kkupiga ban moja kwa moja. hii ndio maana yangu
 
Kweli ujumbe mzito. I hope kesho hizi picha zitakuwa front pages za magazeti, message iweze kuenea kote.
 
Hapa kosa si la mawaziri au madaktari wakuu bali rais mwenyewe. Hata hao wanaomtaka rais awafukuze wenzake wakati tatizo ni yeye hawajaligusa tatizo bali matokeo ya tatizo. Tanzania ipo ilipo kutokana na kuwa na rais mchafu legelege na asiye na mapenzi na nchi yake zaidi ya kutafuta umaarufu wa bei ndogo misibani na kwenye shuhguli. Kimsingi anaongoza kikwere badala ya kitanzania.
 
Mleta umeleta habari njema ila kutukana watu hapa wewe ni mpuuzi na kweli wewe ni Muke ya Mzungu endelea kuliwa .Wana JF unajuaje kama Kishimba si mwana JF unajuaje kama mie Lunyungu sikuwepo na wengine hapa ? Acheni za mayai hizo na matusi ya leja leja .
Lunyungu kamanda!!

Kwa hili Muke ya Muzungu ana hoja kubwa, there were fewer JFers and doctors in the field today
 
These images - and the ones showing the unattended sick- are indicting the Kikwete administration beyond whatever words I can muster here.
 
Hao polisi kama hawana shida kabisa...., utadhani wao wanalipwa vizuri sana kumbe ni hohehae!!!!!
Mm ningependekeza waungane na raia tudai uhuru na haki zetu!!!!
 
Kule kwetu kuna msemo mtu akikuambia ujue amekutukana mpaka kukuvua nguo,
" kuku ana akili kuliko serikali ya sasa"

(kuku giza likianza kuingia anaingia ndani lakini kwa serikali yetu niishie hapo.........)

raha ya kenge mumayi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom