SERIKALI imebaki na kazi ya kukata utepe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SERIKALI imebaki na kazi ya kukata utepe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by African American, Feb 9, 2012.

 1. African American

  African American Senior Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila nikifungua gazeti au kuangalia tv, mara rais kafungua fnb benki, mara makamu wa rais kakata utepe kufungua tawi la nmb(kama ilivyooneshwa leo kwenye gazeti la mwananchi), mara utamuona maalim seif naye akizindua nini sijui!agghhh. Watanzania wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari wao wanadhani ni kazi ya maana sana kutembea na mikasi mifukoni kukata utepe!
   
 2. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgomo utapita mkuu, shusha pumzi
   
 3. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Aaah kzee mzima, so ulitaka watu wote kweli waende ukumbini kuongea na maDr? Acha na ishu zingine ziendelee
   
 4. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Ww ishu ya kukata utepe, kuweka jiwe la msingi, kufungua warsha n.k nchi hii tuna specialist wake nae sio mwngne ni mh.dr.makamu wa__________. a.k.a mzee wa mkasi au utepe.
   
Loading...