Hela ya TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hela ya TZ

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Real Kop, Feb 9, 2012.

 1. R

  Real Kop Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu zangu hivi kwa nini zile Noti za zamani mpaka sasa haziishi kwenye mfumo?

  Nasikia eti ndizo zinatumika kufanya uporaji wa fedha mpya? eti pale panapotakiwa kulipa malipo makubwa kwenye mamiradi heavy nasikia jamaa hua wanaingiza mafedha mapya na ya zamani kwa kiwango sawa na yale ya zamani kwa kuwa yaliisha futwa huwa ya na pelekwa chanel ya malipo halali. na mpya vinatunzwa. eti ndio sababu mpaka leo zile noti zinafanya kazi, eti ni kweli? naomba nisaidiwe. inawezekana ndio sababu shilingi haina ubavu wa kuongezeka thamani. RK
   
Loading...