Gazeti la tanzania daima na malipo ya tarehe 90

Kamanda Mlo

Member
Feb 9, 2012
10
4
Inakera sana mtu anapofanya kazi kwa bidii na uaminifu huku akitegemea malipo ya SINTOFAHAMU nalipwa lini? Hii ni habari ambayo nina uhakika nayo kwa 100%. Wafanyakazi wa kampuni ya FREEMEDIA inayochapisha Gazeti la Tanzania Daima na Sayari mpaka sasa hawajalipwa mshahara wao wa January, ila hali ni mbaya zaidi kwa waandishi wasio na mkataba (Correspondent) kwani wao ndio mshahara wao hawaujui tangu December mwaka jana 2011 licha ya kwamba wanategemea 1500 au 2000 kwa kila habari itakayotoka gazetini. Mbaya zaidi ni kwamba mmiliki wa kampuni hiyo alikusanya mapato yaliyotokana na mauzo ya gazeti na kwenda kufungulia Radio Moshi.:lol:
 
Do you know how much he invested? or umeanzia kuona hapo kwenye makusanyo? usiwe kama dereva wa fuso kusahau kua fuso imenunuliwa 40ml, na kuona yy ndio anatengeneza hela kupeleka laki kwa tajiri kila jioni?
 
Back
Top Bottom