Hivi gazeti la uhuru linatumia weredi au bado ni propaganda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi gazeti la uhuru linatumia weredi au bado ni propaganda?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bullet, Feb 9, 2012.

 1. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kuna kichwa kimoja cha habari kwenye gazeti la Uhuru kuwa "maandamano feki yashindwa". Hivi kweli ujumbe uliofikishwa na wanaharakati wale ulikuwa feki? Hivi kweli kupaza sauti juu ya wahanga wa mgomo wa madaktari ambao kwa kiasi fulani umechangiwa na serikali, sauti hizo ni 'fake?'
  Hivi kweli maneno aliyosema dr. Kijo Bisinba ni fake?
  Kwa nini kila kitu kiangaliwe kisiasa?
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kongwe la chama cha mapinduzi unategemea nini?
   
 3. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  We acha tu!
  Bado miti yote kuteleza, ili nyani afe.
  No longer at easy.
   
 4. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  tutafute picha za wahusika wa hili gazeti i.e wahariri nk ili tuwe tukiwaona mitaani tunajuwa wapumbavu tulionao nchini
   
 5. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukweli wanauelewa ila wanalinda mkate wao tu......lakini hao wote siku zao zinahesabika ni heri wangewahi kusoma alama za nyakati mapema wakajirudi kabla hayajawakuta
   
 6. m

  marembo JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  We waache waweweseke na Sauti ya Umma. Haishangazi wao Magamba ndio waliotufikisha hapa na sasa wanakejeli hata juhudi ya kuokoa maisha ya watu. Ikifika wakati wa kampeni povu linawatoka wanaishiwa nguvu mpaka wanaanguka majukwaani. Wakishapata wanawadharau wananchi. Kimtazamo hili gazeti linatakiwa lifungiwe kwa kujihusisha na kutowatetea wanyonge wa nchi hii. Wanajitenga na ukweli kuwa watanzania ni wa sasa sio wale wa zamani. Wameshapigika vyoa kutosha na hawataki tena hali hiyo ya kudanganyana. Wananchi wengi wamefunguka macho na kujua kuwa mfalme wanaemsifia kuwa amevaa nguo nzuri ya hariri kwa kweli yuko UCHI wa nyama. Mwenye masikio na asikie na mwenye macho aone. Wasome alama za nyakati wasiendelee kulinganisha kila kitu na upinzani. Wamelikoroga wao na sasa walinywe. kwa issue ya madakrai mmh!, hawachomoki.
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Gazeti la uhuru kazi yake kubwa ni kupotosha, umeishawahi kusikia limesema safari hii limepata hasara ya mauzo au faida kubwa. Lipo lipo kwa nguvu ya mafisadi.
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ni uhuru au uhuni.
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Afu wanadai salary mwezi wa nne sasa
   
 10. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Maandamano feki, sio meseji feki, hayakuwa kisheria ndo maana feki, ujumbe wao ni valid
   
 11. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hawachomoki unamaanisha nini? Madaktari waliitwa kuongea na mwana wa mkulima wakagoma, kumbe madai yao nani angesikiliza, kwa kuona walivyokosea umeona leo walivyojaa, hilo gzeti la uhuru achana nalo
   
 12. King2

  King2 JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwani bado lipo hili gazeti.
   
 13. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hilo la mauzo kaka usiliongelee kabisa, hata mwananchi anapika taarifa za mauzo, wengine hoi bin taaban, na ujue tu, magazeti mengi yanauza serikalini, maafisa wengi wananunuliwa ndo unaona hata circulation yao inakuwa kubwa, leo hii serikali inunue uhuru na mzalendo tu, kesho no magazeti mitaani, juc so u kno
   
 14. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mshahara awalipe nani wakati gazeti lenyewe haliuziki. Nafikiri lina tegemea michango ya mafisadi kusavaivu.
   
Loading...