Madaktari Tanzania hawajui kutumia twitter?

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
Watu wako ndani ya ukumbi mbona hatuoni tweets zao?

mimi nataka nifuatilie hili sakata live tokwa kwa twitters mbali mbali

Nauliza hata JF na akina Pasco, Halisi na wengineo tunaomba twitter coordination zenu tuwe tunapata live feeds

including pictures

kama hamwezi muulizeni Invisible awasaidie maana hakuna namna zaidi ya kubebwa bebwa tuu
 
Mamndenyi umefanya wapi huo utafiti wako hadi uje na majibu mepesi kiasi hicho?No research no rights to speak kajipange upya ndo uje na huo usemi wako
 
Watu wako ndani ya ukumbi mbona hatuoni tweets zao?

mimi nataka nifuatilie hili sakata live tokwa kwa twitters mbali mbali

Nauliza hata JF na akina Pasco, Halisi na wengineo tunaomba twitter coordination zenu tuwe tunapata live feeds

including pictures

kama hamwezi muulizeni Invisible awasaidie maana hakuna namna zaidi ya kubebwa bebwa tuu
hili nalo ni ombwe.wasomi wengi hawawezi kutumia mitandao ya kijamii.wanadhani kukokamaa na ma-handouts ndio mwisho wa ujuaji,
 
Watu wako ndani ya ukumbi mbona hatuoni tweets zao?

mimi nataka nifuatilie hili sakata live tokwa kwa twitters mbali mbali

Nauliza hata JF na akina Pasco, Halisi na wengineo tunaomba twitter coordination zenu tuwe tunapata live feeds

including pictures

kama hamwezi muulizeni Invisible awasaidie maana hakuna namna zaidi ya kubebwa bebwa tuu

Kwani kila daktari ana "smartphone" au ana simu yenye uwezo wa kutumika kwenye Internet? Fikiria kabla hujaandika.
 
Hata mimi twitter naingia mara mojamoja.. Ninawafollow watu 12 hivi,wanaonifollow ni watatu tu..
Kule kunafaa sana ukiwa maarufu... Au public figure...

Ila hii nayo si hoja sana...,labda mazoea ya watu...

Wajua mle hakuko arranged as a special row,and column for forums... Kwa hiyo ukizoea JF mle utaingia mara chache sana..
 
hata wabunge wengi wa ccm hawajui..hata mama lwakatare anajua zinaharibu watoto
 
Mshahara wenyewe sh. ngapi mpaka niwe na smart phone!? Nawe mleta mada acha ushamba, updates zilikuwa za kumwaga kule facebook (mtandao user friendly hata kwa wasio wasomi au wajuzi wa mitandao) kwenye page ya MAT, we umekomalia twitter tu!
 
Kwani twiter inatibu ugonjwa gani?, nataka nijue ili nikainunue, na inapatikana kwenye pharmacy ipi?, naomba mnijuze.
 
Mshahara wenyewe sh. ngapi mpaka niwe na smart phone!? Nawe mleta mada acha ushamba, updates zilikuwa za kumwaga kule facebook (mtandao user friendly hata kwa wasio wasomi au wajuzi wa mitandao) kwenye page ya MAT, we umekomalia twitter tu!

afadhali... mleta mada analeta zile za malkia wa france aliyesema kama hakuna mikate watu wale keki!!! afterall kazi ya dokta ni kutibu na sio ku-tweet, watu wa IT, marketting, social addicts na wengine inaweza kuwa sawa zaidi
 
Watu wako ndani ya ukumbi mbona hatuoni tweets zao?

mimi nataka nifuatilie hili sakata live tokwa kwa twitters mbali mbali

Nauliza hata JF na akina Pasco, Halisi na wengineo tunaomba twitter coordination zenu tuwe tunapata live feeds

including pictures

kama hamwezi muulizeni Invisible awasaidie maana hakuna namna zaidi ya kubebwa bebwa tuu
wanajua sana kutumia ila kuna baadhi ya info hazitakiwai kuwafikia mamluki wa serikali,kwa hiyo inawezekana wanatumia old school means of communication.nadhani hii ndio siri ya kukomaa kwa wiki mbili dhidi ya propaganda za serikali.
 
Back
Top Bottom