Tahadhari usipige hii namba 0037128405230 ukitumiwa ujumbe

satellite

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
616
164
kuna ujumbe unasambazwa wa sms ukisomeka "we have an important message for you to know it call this number 0037128405230"tunaomba watu wa mawasiliano mtoe tamko kwa hili
 
Si hiyo namba pekee, ziko nyingi tu. Tatizo, kwa nini message hizi za wizi zinapitia mtandao wa Vodacom tu, kuna nini huko?
 
Voda wameni txt, wamesema ukiona txt una doubt nayo ipotezee
 
Mi nadhani hao TCRA wako likizo na sijui kwa nn vodacom ndo wahanga wa hizo namba
 
voda wanatuma text kwamba wao hawahusiki na kama una wasiwasi na chanzo cha no usipige.NAJIULIZA MBONA VODA WAMECHELEWA SANA KUTOA TAARIFA?HIZI TEXT ZINAKERA SANA WANATAKIWA KUZIZUIA MAANA INAONEKANA NI WATEJA WA VODA TUU NDO WANAPATA HIZO TEXT
 
Vodacom wanashirikiana nawezi hawa, hii kampuni imejaa wezi nje ndani
 
Mbona sijaupata huo ujumbe? Naomba wanitumie mimi halafu waone hilo TUSI nitakalowapa haki ya mama hawatarudia kuwasanii Watanzania!
 
I think system yao imekuwa attacked na invaders kwani ni namba nyingi
 
matapeli wa kibongo hao wako italy na belgium nao wanajaribu jaribu,niliwastukia long tyme na bahati nzuri nilikua huko huko nilipowaambia tuonane niwapelekee hela simu yao haijapatikana mpaka leo
 
Back
Top Bottom