Vijana wanaovaa suruali 'Kata K' wanataka jamii iwaeleweje, wako kwenye biashara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wanaovaa suruali 'Kata K' wanataka jamii iwaeleweje, wako kwenye biashara?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magobe T, Feb 9, 2012.

 1. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanaJF, nimekuwa nikifikiria kwa nini baadhi ya vijana wanaamua kushusha suruali zao nusu makalio na kuonesha nguo zao za ndani na wanaona sifa kufanya hivyo. Wengine wanakuwa wanajifanya wanasogeza juu lakini wanairudisha palepale. Huwa najaribu kujiuliza: hivi maana ake ni nini - ni ushoga au? Nasema hivi kwa sababu nakosa neno sahihi la kutumia hasa kwa kuzingatia kuwa kama wangekuwa ni wasichana wanavaa kiaina unakuta watu wengine wanawaita malaya au "wako kwenye biashara hao!" Ila kwa wavulana sijasikia mtu yeyote akiwaita majina mabaya. Je, hii staili ya uvaaji ni ya heshima? Kama siyo mbona haikemewi lakini wasichana wakivaa kwa namna tofauti tunakuwa wa kwanza ku'label'?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mapunga hayo
   
 3. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Kuna element ya ushoga kwa mtu mwenye behaviour ya namna hiyo
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Biashara ni mtaji ati, sasa wasipotangaza mtaji walionao watauzaje?
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  msipende kutukana na ku abuse watu

  wakivaa akina JAY Z hamuwatukani...

  hereni wanavaa kina MICHAEL Jordan na hamna guts za kuwatukana...

  watoto wa kiswahili wakiiga basi wameshakuwa mashoga na kadhalika....

  acheni hizo....

  if you hate urself so much,you will end up hating anything that relates to you.....
   
Loading...