Hii video imepigwa kwenye moja ya maduka yaliopo Mlimani city
Hii sio bongo movie ni tukio la kweli,kina dada hawataki kubaki nyuma katika kila kazi zinazoonekana za wanaume zaidi hata kama haramu na wao wamo....kumbe sasa haina haja ya kuwa na viti maalum bungeni,wanaweza bila kuwezeshwa hawa waswahili sasa,angalia video hii hapa chini uone dada mwenye suruali nyeusi alivoenda na "move" mpaka kufanikiwa kukwapua begi la mauzo ya duka la vipodozi mlimani city bila kugundulika na wahusika...
Movie yako ukiuuza utapiga hela ndefu mpwa safii sana!!
what a man can do,a woman can do better.....lol hio kali.