Nini maana ya al qaeda?

Nini maana ya al qaeda?

TaiJike

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
1,482
Reaction score
669
Jamani msinicheke kama yule shahidi wa BB huko arusha nimelazimika kutaka kujua maana ya neno hili Al qaeda?
 
kwa maana ya neno Al qaeda sifahamu ila nijuavyo hili ni kundi hatari la kigaidi linalouwa watu wasiokuwa na hatia
 
kwa maana ya neno Al qaeda sifahamu ila nijuavyo hili ni kundi hatari la kigaidi linalouwa watu wasiokuwa na hatia

Asante Nitonye, hata mimi najua ni kundi la kigaidi ninachotaka ni maana ya neno hilo tu.
 
Asante Nitonye, hata mimi najua ni kundi la kigaidi ninachotaka ni maana ya neno hilo tu.

Ukitaka maana ya hilo neno mwambie mod aihamishe post yako aipeleke kwenye jukwaa la dini halafu uombe access ya hilo jukwaa
 
Back
Top Bottom