Abiria kuvaa kofia(helmet) moja ya bodaboda, si tutaambukizana magonjwa?

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,333
3,896
Hili limekaaje abiria wa bodaboda kuvaa helmet? Sheria hii ya kulazimisha abiria wa pikipiki za kukodi maarufu kama boda boda kubadilishanabadilishana helmet sie tutaambukizana magonjwa?
 
kama ushafika Uganda,rwanda na burkina faso...abiria anavaa kofia..kwa usalama wake..na ni sheria..cjui hapa kwetu naona watu vichwa wazi
 
Basically Iundwe Sheria ya kuwalazimisha Hawa Vijana wazifanyie Usafi Daily na Zikaguliwe na Vyombo Husika / Abiria Wenyewe!! Kwanza sina Uhakika kama kuna sheria inaruhusu Hii aina ya Usafiri kwani Unasababisha Vifo na Majeruhi Kuliko aina Nyingine Yoyote ya Usafiri Chini ya Jua!!!
 
zile kofia ni maradhi matupu mnajitafutia tangu inunuliwe haijawai kukutana na maji wala sabuni zaidi ya kubeba chawa kutoka kichwa kimoja hadi kingine, waendeshaji wenyewe nao ni wachafu
 
Kwa kweli ni hatari kwa afya yako! Kuna watu wengine wana mange za hatari kabisa, utafikiri nao ni nguruwe!
 
inabidi wavae kofia

ila kofia zenyewe sasa, unakuta zimeloa majashooooooo
yaani maradhi matupu
 
Back
Top Bottom