Jogoo wa Kichina ataga !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jogoo wa Kichina ataga !!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boflo, Feb 11, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Jogoo wa Kichina ataga[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #e1e1e1"]
  [TD]
  [​IMG]
  Moja ya majogoo ya Kichina[/TD]
  [TD] Saturday, February 11, 2012 12:16 PM
  Shirika la habari la egynews limeripoti kuwa, Wasomi na wataalamu nchini China wamepatwa na kiwewe cha mwaka, pale waliposhuhudia Jogoo lisilo la kawaida, ambalo linameshataga mayai kumi na manne 14.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"] Shirika la habari la egynews limeripoti kuwa, Wasomi na wataalamu nchini China wamepatwa na kiwewe cha mwaka, pale waliposhuhudia Jogoo lisilo la kawaida, ambalo linameshataga mayai kumi na manne 14.
  Wasomi hao wameshaanza utafiti wa kina ili kujua imekuwaje na ina athari gani? Televisheni ya China imesema kuwa, tukio la kutaga kwa Jogoo limezua gumzo kubwa katika mitaa ya Uchina. Baadhi ya Wachina wanaenda katika shamba liliopo mji wa Shandong Liaoche anapofugwa jogoo huyo ili kumshuhudia na maajabu yake.

  Jogoo huyo ana kilo tatu 3 na ameanza kutaga tangu zamani, na yai lake la mwisho ni tarehe 7/2/2012. Na yai la jogoo huyo ni kubwa kuliko yai la kawaida.

  Wakati huo huo duru za kiusalama wa chakula huko China zinaripoti kuwa, maafisa wa afya wanachunguza matukio yanayojulikana katika vyombo vya habari kama (YAI MPIRA), ambapo kiini cha yai kikichemshwa kinakuwa kama vigoroli vya mpira na kuvutika vutika[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Hilo jogoo litakuwa na tabia za kibwabwa halina dili. Nachotoka kujua ni nani alilipanda. Jogoo mwenzake au? au ndo mambo ya maabara
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Kweli mchina ni mchina tuuuuuuuuuu.
   
 4. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna bwabwa mpaka Jogoo???????
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  In china kila kitu chawezekana
  nlishangaa kusikia pia mayai huwa yanatengezwa na kiwanda na kuuzwa mitaani kama kawaida.
   
 6. H

  Hackermanfesto Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shoga hilo
   
 7. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Shoga Jogooo?????.......lakini anawika
   
 8. handsomeboy

  handsomeboy Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndio kama wewe tu mambo yanaingiliana katikati, he he he
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
 10. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
 11. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Mbona jogoo kutaga ni kawaida,hasa akizeeka,maana kitaan kwetu(kijijini) nilishamshuhudia jogoo akitaga!mayai yake yalikuwa madogo kiasi kuliko yale ya kuku wa kawaida!wazee walituambia ni kawaida kwa jogoo mzee kutaga yai au mayai kadhaa then ana rip
   
 12. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ah MTM bana...

  Hilo yaii..au kikopo cha coke baridi?
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  ili mayai yatotoe inabidi apandwe.

  Mmmmmmmmh
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha mchina wala nini. Haya mambo siyo maajabu kwani yana scientific explanation. Homonal/physiological abnomality. Kuna watu kama akina semenya, anaweza kuonekana na mwanamke kumbe ndani ana maumbile ya kike. Usisahau Bagamoyo kuna mbuzi dume rijali lakini anakamuliwa maziwa na yananywewa.
   
 15. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  No Network....
  Insert SIM card.........
  SIM blocked..............
   
 16. M

  Makupa JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kuku anaweza taga bila ya kupandwa
   
 17. M

  Mbogo Junior Senior Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sasa mayai yake yanaweza atamiwa na kutoa vifaranga?
   
 18. M

  Makupa JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mayai yake ndio bomu hayawezi atamiwa
   
 19. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hawa wachina watatuleta matatizo zaidi ya haya
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Sasa anawezaje kutaga bila kushughulikiwa?
   
Loading...