John Henche ataka Serikali kutoa ripoti ya Vifo vilivyotokana na mgomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

John Henche ataka Serikali kutoa ripoti ya Vifo vilivyotokana na mgomo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Not_Yet_Uhuru, Feb 13, 2012.

 1. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  MKiti wa vijana CDM kaitaka serikali kutoa ripoti ya idadi ya vifo kutokana na mgomo wa Madaktari, na iwawajibishe wote waliohusika na vifo hivyo. Source: Radio 1 news.

  MIE NASHAURI PM AWE WA KWANZA KUNGO'KA Maana kama sio yeye alikosa busara na dira alipowapa vitisho, tatizo lisingekuwa kubwa na kudumu muda hivyo. PM AWAJIBIKE WA KWANZA, wengine wafuate.
   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  tusubiri tarehe tatu mwezi wa tatu.
   
 3. K

  Kamura JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Heche asitake kufukua makaburi, hizo ni chokochoko zisizo na maana. Au ananataka tuamini kwamba CHADEMA ndio waliratibu mgomo wa madakatari?
   
 4. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  anataka tu uwajibikaji wa viongozi hawa wasio na hisia au uwajibikaji mbali na visingizio.
   
 5. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hili lilikuwa ni tatizo ambalo limewakosesha watanzania wenzetu maisha, lingeweza kumkuta mtu yeyote hata wewe. Fikiria kama ungepata ajali wakati huo wa mgomo na matibabu yako yakawa ni lazima yafanyike muhimbili je ungekuwapo hadi leo???? Kila mtanzania mwenye akili timamu lazima awe concerned na hili jambo na hatua zichukuliwe ili kuhakikisha hali kama hii haijurudii tena huko siku za mbeleni. Watu wenye mawazo kama wewe ndo wameteka nyara maendeleo ya nchi hii, kila kitu kwao ni ushindani na ushabiki tuuuuu wa kisiasa, halafu hata siasa zenyewe hamzijui na mna uelewa mfinyu sana. AIBU!!!!
   
Loading...