Kikwete kushiriki misiba na kuwaacha wagonjwa wafe nini maana yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kushiriki misiba na kuwaacha wagonjwa wafe nini maana yake?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M.L., Feb 11, 2012.

 1. M

  M.L. Senior Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna jambo linalonitatiza na hapana shaka watanzania wengi wako katika hali kama yangu. Mkuu wa kaya ni mwepesi wa kuungurumisha msafara wake kwenda kwenye maziko lakini wakati huo huo kuwakimbia wapiga kura wake,wanaoumwa na kulazwa hospitali kama vile Muhimbili, ambao wameathirika kwa mgomo wa madaktari, ni nini maana yake?
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,318
  Likes Received: 19,471
  Trophy Points: 280
  ndio tufe ili ashiriki..mbona concept ndogo hapa tu
   
 3. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Kwani yeye ndiye malaika mtoa roho??ebu toa ***** wako huu...!!
   
 4. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jibu hoja, acha ghadhabu!
   
 5. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Kwani ni tatizo kushiriki misiba? Mi nadhani kama angekuwa hashiriki ndo tungehoji vipi prezidaa wetu haguswi na misiba?.... Nadhani yafaa tumpongeze kwa kuwa karibu na jamii wakati wa mambo mazito kama misiba.

  Hili la Madkatari....wa kulaumiwa ni madokta wenyewe kwa kutanguliza ubinafsi, tamaa, kuabudu pesa na maslahi yao kinyume na kiapo chao........ Matokeo yake ni kusababisha vifo visivyo vya lazima.
   
 6. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Lazima afuate masharti aliyo achiwa na shekh Yahaya,La sivyo..........
   
 7. s

  sugi JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Unafkiiii mkubwa,umewajaa viongozi wetu,wanapenda kuuza sura tu
   
 8. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kila mtu ana vipaumbele vyake bana! mwacheni na ishu zake.
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ...i had the same question for some time now, I think jamaa anafuata masharti au ni ile type inyopenda kuona watu wakiwa na huzuni, its a mental disease

  Haingii akilini jamaa amekaa kimya watu wamekufa kwa mgomo, halafu anakusanya misururu kwenda kuhani kifo cha mtu mmoja ambaye wala hakuwahi kumuona (msiulize ni yupi)
   
 10. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Unafiki na Cheap popularity, Jk z So disgusting.!
   
 11. M

  Mbogo Junior Senior Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tumwache apumzike.
   
 12. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  It's hypocricy of the highest order.
   
 13. M

  M.L. Senior Member

  #13
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  How? au wewe unamlinda kiaina? apumzikeje mbona tayari yuko likizoni?
   
 14. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Maana yake ni kwamba kama maji yanatiririka kuelekea bwawani basi pahala pa kupata maji kwa uhakika bila bugudha ni bwawani. Makaburini ndiko atawasubiri wagonjwa kwani ni uhakika. Atakayeamka ndiye atakayemwambia kwani yuko hapo? Asante
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Maana yake anapenda kuzika kuliko kumfariji au kumtaftia tiba mgonjwa
   
 16. O

  Omonto Member

  #16
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona toka kitambo ni mfuasi wa Sheikh Yahaya hata nafasi yake ilitabiriwa
   
Loading...