TZ Kushnei

TZ Kushnei

TODO

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
219
Reaction score
63
mh.zitto anaongea mambo mazito sana juu ya uingizaji vitu toka nje ya nchi hasa magari,mbolea,kondomu na vifaa vingine na kazi za tbs.anasema hakuna evidence ya bidhaa feki zinazokatiliwa nchini kuludishwa au kutupwa.pia mh.waziri chami amechangia.kiukweli tunatatizo na bidhaa feki nchini
 
Serikali regerege ya m.a.gam.ba
 
Kwahiy Tbs hawana uwezo wa kuthibitisha original labda ndo maana
 
huwa tunaonyeshwa sometimes kwenye TV bidhaa zinachomwa moto na tume ya ushindani or something, hiyo nayo siyo evidence? angesema jitihada za kuangamiza bidhaa feki hazitoshi ingekuwa sawa..
 
huwa tunaonyeshwa sometimes kwenye TV bidhaa zinachomwa moto na tume ya ushindani or something, hiyo nayo siyo evidence? angesema jitihada za kuangamiza bidhaa feki hazitoshi ingekuwa sawa..
Kuna vitu ambavyo huwa sivifahamu. Kuna vitu vinaitwa fake, vingine substandard na vingine counterfait. Pia kuna TBS na FCC; hivi vyombo viwili tofauti vinashghulikia mambo gani kati ya hayo niliyoyataja hapo juu? Msaada tafadhali.
 
huwa tunaonyeshwa sometimes kwenye TV bidhaa zinachomwa moto na tume ya ushindani or something, hiyo nayo siyo evidence? angesema jitihada za kuangamiza bidhaa feki hazitoshi ingekuwa sawa..

Ukiona hivyo aligoma kutoa 10%
 
Back
Top Bottom