msaada kuhusu mikumi national parks

Kiboko Yenu

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
311
65
mimi na wanachuo wenzangu tumepanga mwisho wa mwezi huu tukatembelee mikumi national park kama sehemu ya kukuza utalii wa ndani naomba kwa mtu mwenye contact za huko anisaidie ili niweze kujua hasa gharama za hostel.
Kwani nimejaribu kusearch kama wana website kumbe hawana,wanatumia ya TANAPA nao nimewatumia email mwezi sasa hawajanijibu
 
Nani amekwambia watakujibu e-mail....utasubiri sana....
piga namba hizi.....0784777779......0272503471........0272501205........
 
kwa hali ilivyo sasa hamtaenjoy sana, labda mu-extend trip yenu hadi udizungwa.
 
Nani amekwambia watakujibu e-mail....utasubiri sana....
piga namba hizi.....0784777779......0272503471........0272501205........

Ni tatizo sugu idara za serikali kujibu email. Ningewashauri wasiweke hizo email address kwenye websites zao maana ni useless. Kuna email niliwaandikia utumishi mwaka wa pili sasa pamoja na kuwakumbusha mara kadhaa
 
waige makampuni ya wadosi juu ya matumizi email!!!!!!tatizo wabongo wakiachiwa access ya internet badala ya kufuatilia shughuli za kiofisi atataka mda huohuo awe JF hapohapo FB aupdate!blue monday mara sijui. Kazi nyingi!lunch tamu!sishangai kama hawajakujibu kwaajili ya uzembe kama huo au hawana access!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom