Kondoo azaliwa akiwa na miguu sita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kondoo azaliwa akiwa na miguu sita

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JF2050, Feb 7, 2012.

 1. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  tumechoka sasa,

  apelekwe akafugwe pamoja na yule mwenye maandishi ya kiharabu ubavuni
   
 3. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  jaman pengine kuna scientific explanation for that, kwa mfano vitu kama mutation huwa vinasababisha viungo vikue katika hali isiyo ya kawaida. kwa mfano kwa ng'ombe wa nyama kama Piedmontese or Norwagiarn Blue, lack of protein in myostatin gene inaweza kusababisha mutation which in turm may cause extreme growth of muscles called double muscles
   
 4. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Yeah, yaweza kuwa some form of mutation
   
 5. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  True that!
   
 6. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sayansi ina majibu ya mambo mengi mfano mapacha, watoto waloungana nk. Inshort to every rule there are exceptions na sayansi ina explanations. Kwetu sie tuishio kwenye pre-scientific era kila abnomality ni raana au muujiza au ujumbe wa Mungu kwetu. Tuwekeze kwenye sayansi tutaacha mishangao na kufungwa kamba na akina the likes of mzee wa upako.
   
Loading...