Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali yatoa kali ya mwaka Haifahamu mapatoATCL,TRL yanakoenda Yakaa kimya, yazidi kumwagia ruzuku yaendelea kulalamika
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nova Kambota Kalamu yangu nashika, shairi nakutungia Kamanda umeongea, kiwingu umeondoa Hukutaka kusinzia,makosa kuyarudia Jibu umetupatia, viva kamanda Lowassa Mwananchi nimesoma, la jana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani tanzania Kodi zetu zimekuwa nyingi mno na matumizi yake hayaonekani PAYE -30% VAT 18% Ewura 1% stampduty-- Fuel levy- Road toll Levy - so in total we are paying 70% of our salaries to...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanandugu majuzi nimempeleka ndugu yangu kwenye hii hospital ya dk kairuki,..wengi walinishauri hosp ya karibu tukaamua kumpeleka hapo tulipofika binti alikuwa na mimba ya miezi 7 akaongea na dk...
0 Reactions
55 Replies
17K Views
Nilimsikia kijana mmoja wa kiTZ ALIYESHIRIKI MASHINDANO YALE YA WANAFUNZI YANAENDESHWA NA tusker Alipoulizwa umejifunza nini ktk haya mashindano aliongea maneno haya NiMejifunza mambo matatu 1 ...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nimechunguza siku moja baada ya bunge kupitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini mgao wa umeme umerejea katika makali yake.kwa wale walioko arusha mnaweza kuelezea jinsi mgao wa umeme...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Baada ya adha na bugudhi za muda jioni ya leo kutafanyika uvamizi kwenye hiyo yard kuwatia nidhamu wahusika, kama una gari lako mule kachukue mapema.........
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi wanajamii samahani naombakujuzwa maana sikumbili tatu sikua karibu na vyombo vya habari,kwani mgao umeanza tena tanzania,maana nipo dodoma toka j3 yani nikero haifai.
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Mama wa mtoto aliyedungwa sindano tata aijia juu Muhimbili Send to a friend Wednesday, 15 February 2012 20:59 0digg James Magai na Geofrey...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
baada ya kuanzishwa tu kuna wahuni wamehack forum ya dr slaa.nina wasiwasi na malaria sugu! info@dwpslaa.com Tunasikitika kwamba kuna watu wame hack forum hii usiku wa leo baada ya jana tu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutokana na mazingira magumu ya kazi ya walimu, madai yasiyosikilizwa, walimu wameanza mgomo kimyakimya kwa kile kinachosemekana kuwa wanaogopa kupigwa virungu. Ukifuatilia utendaji kazi wao...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Facebook's reputation problem grows Many people say they don't trust or respect the social networking giant. What survey of 17,000 reveals
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Madaktari waliorudi kazini hivi karibuni wanaandaa mgomo mwingine mkubwa.Mgomo huo uliopachikwa jina la 'Mgomo wa Ukombozi na Hadhi' uunapanga kuishinikiza Serikali kuacha maramoja kutumia fedha...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Taarifa kwa simu kutoka Inyala, Mbeya zinasema basi la Happy National limeanguka baada ya kushindwa kuumudu mteremko wa pale TAZAMA, maarufu kama Pipeline. Habari toka kwa abiria alipanda basi la...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Wandugu naona msaada wa namna ya kujitoa kwenye vijihuduma vya kifisadi vya vodacom maana kila kukicha naletewa bili zisizo na maana, mara redio ya swaga , mara nyimbo. Sioni umuhimu zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna basi moja linafanya kazi ya kusafirisha abiria kati ya Dar es Salaam hadi Mwanza, linaitwa Muro kila siku linalaza abiria njiani, yaani bovu ile kinoma. Mbaya zaidi linapoharibika hakuna...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
inakuwaje baadhi ya wanawake hawapendi kutaja umri wao( kwa wanaowahitaji kuwa karibu nao). kadhalika na wanaume hawapendi kuulizwa kipato chao(hasa kwa wandani wao)
0 Reactions
7 Replies
1K Views
In 1865,Frederik Idestam founded a woop-pulp mill in southern Finland,naming it NOKIA.It rapidly gained worldwide recognition,attracting a large number of of workforce and the town Nokia was born...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Wiki iliyopita kulikuwa na tarifa iliyopostiwa hapa kwenye mtandao kuwa kuwa yule mganga wa kienyeji anayekunywa damu ya paka maarufu kwa jina la Dr. Manyaunyau is no more and there was no more...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, nionavyo mimi jinsi ardhi inavyochukuliwa kwa kisingizio "hatuwezi kuendelea bila wawekezaji" tunaelekea kule ambako Zimbabwe ilikuwa kabla ya kutaifisha mashamba ya wazungu. Sisi...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…