Ukata idara ya uhamiaji

MkimbizwaMbio

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
868
331
Yasemekana wameshindwa kutoa pass kwa muda mrefu kwa kukosa pesa za kutengenezea machine za kuchapia.

Mimi binafsi nilijaza form za kubadili pasi yangu iliyoisha muda tangu mwaka Jana December lakini mpaka leo imekuwa nenda rudi bila mafanikio.

Baada ya kufuatilia hilo, moja wa afisawa pale akanimegea siri hiyo.

Nadhani kuna member wengine humu wameshakutana na usumbufu kama huu.

Mwenye nyeti zaidi atujuze.
 
pasi zote za kusafiria zilibadilishwa 2005 kutoka zile za zamani za kuandikwa kwa mkono na kuwa za kuchapwa kwa mashine. Latest time ya kuisha muda ni 2015. Unaposema iliisha muda unadanganya au kama umesafiri sana na imejaa.
 
Imejaa mkuu. Inabidi kubadilishwa. 2015 ni expiration date.
 
kaka la ukata ni kweli na hilo siyo kwa idara ya uhamiaji ukata ni wizara na idara kumbuka serikali imeamua kumega bil.3 kila idara za serikari kutokana na ukwasi ilionao ila vumilia itatoka mie pia kuna jamaa yangu alijaza tokea septemba mwaka jana imetoka january mwaka huu
 
Mkuu unachanja mbuga kama JK yaani ilishajaa!
Ukata is cutting accross all the gvt entities
 
kaka la ukata ni kweli na hilo siyo kwa idara ya uhamiaji ukata ni wizara na idara kumbuka serikali imeamua kumega bil.3 kila idara za serikari kutokana na ukwasi ilionao ila vumilia itatoka mie pia kuna jamaa yangu alijaza tokea septemba mwaka jana imetoka january mwaka huu

mind your language. Haiwezekani kwa wakati mmoja mtu akawa na umasikini wa kupindukia (ukata) na utajiri wa kupindukia (ukwasi). Next time, think before you ink!
 
pasi zote za kusafiria zilibadilishwa 2005 kutoka zile za zamani za kuandikwa kwa mkono na kuwa za kuchapwa kwa mashine. Latest time ya kuisha muda ni 2015. Unaposema iliisha muda unadanganya au kama umesafiri sana na imejaa.

Hajakuambia imejaa bali imeisha, labda kaweka hapa ili tujue nae anakwea pipa kumbe ndo anakoroga mambo
 
Safari moja inaanzisha nyingine itaanza kufisika wizara na idara moja ya serikali hadi nyingine
 
hata yangu imeshajaa inabidi next month niibadili ..ila nina wasi wasi ho jamaa kuna kitu wanataka wewe ongea nao vizuri bongo watu wanaishi kimjini mjini ujue
 
pasi zote za kusafiria zilibadilishwa 2005 kutoka zile za zamani za kuandikwa kwa mkono na kuwa za kuchapwa kwa mashine. Latest time ya kuisha muda ni 2015. Unaposema iliisha muda unadanganya au kama umesafiri sana na imejaa.

Kumbuka kuna waombaji wengine ni wapya, hawakuwa na hizo pass zinazoisha 2015.
Ukweli ni kwamba si uamiaji peke yao waliofulia, serikali nzima hali ni tete, hadi imefikia point chekacheka anapanda Qatar Airways?
 
Back
Top Bottom