peoples power
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 475
- 100
Níko bukoba hawa tigo sijuwi wana matatizo gani yaani hawako onair kwa zaid ya masaa manne hii ni shida sana.
Tigo ipi?
Badilisheni kauli mbiu yenu iwe, tigO! Hopeless yourself!!!!Tigo express yourself, mtandao unaopendwa na wengi, zamani ulikua unaitwa BUZZ NI BOMBA. Unajulikana pia kama mtandao wa wanafunzi.
Swali lingine?
Nilidhani shida ni sgd tu, kumbe nchi nzima? NIPO SGD kwa leo. TIGO! hopeless yourself! Hii ni kauli mbiu yao mpya.Sio huko tu, sgd umekata toka saa kumi na mbili kasoro ya jion na umerudi saa nane usk hata cjui wana matatizo yepi hawa jamaa
Hao jamaa sio tu kuwa ni tatizo tu ila ni wezi. Ukipiga unakuta mtu hapatikani. Halafu yanakuja maelezo ya kiingereza ambayo wengihatuyaelewi, "the number you are calling is not reachable, to send a voice mail at regular call charges please stay on line",SIO WIZI HUU?Níko bukoba hawa tigo sijuwi wana matatizo gani yaani hawako onair kwa zaid ya masaa manne hii ni shida sana.