Mwanamke Mnene kilo 254 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke Mnene kilo 254

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Feb 20, 2012.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [TABLE="width: 491"]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]Brenda Flanagan-Davies mwenye miaka 43 ndie mwanamke mnene kuliko wote nchini Uingereza akiwa na uzito wa kg 254. Mtandao wa The Sun umeripoti.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Zoezi pekee analofanya Bibi Brenda ni kutembea kutoka kitandani mwake hadi choo kiasi cha meta 10 tu. Na muda mwingi, Brenda anashinda chumbani mwake akiwa maejilaza kitandani. Karibu ya kitanda chake kuna friji linalosheheni misosi kama, chokleti, soda, biskuti, pipi nk.

  Brenda hajawahi kutoka na kwenda popote nje ya nyumba yake tangu miaka 4 iliyopita. Mahitaji ya Brenda anayapata kwa kununuliwa na watu wanaomuhudumia kwa kumuogesha na kumwandalia chakula na mengineyo. Ama nguo ananunua katika mashirika maalum kupitia mtandaoni.

  Pato la Brenda ni Paundi za Uk 300 wiki. Madaktari wameshamuonya BrendaA afuate utaratibu wa kupunguza kula na kula vyakula maalum vinginevyo kifo kinamnyemelea, kwani mwili wake hauna nguvu za kuhimili opereshi ya kupunguza utipwatipwa.

  Kwa upande wake bibi Brenda amesema kuwa "Nachukia sana maisha haya, Nijisikia aibu kuwa katika hali hii, natamani kujisaidia lakini sijui nianzie wapi". "Siwezi kuacha kula" amenukuliwa akisikitika.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Weka picha!!!!
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mungu atustiri.
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Namuonea huruma kwa kweli ..
  Huo ni ugonjwa sasa ...
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Du ni zaibi ya ng'ombe
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Na anaendelea kula tu!

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 7. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  huyo hata akipata mwenza itakuwa kazi kubwa...!
   
 8. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiafya hiyo obesity ni malnutrition. Atakuwa ni taahira tu, hakunaga taahira mwembamba.
   
Loading...