Kwanini StarTv inamuogopa Ndalichako tuongee asubuhi?Au wanakimbia ukweli kujulikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini StarTv inamuogopa Ndalichako tuongee asubuhi?Au wanakimbia ukweli kujulikana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Feb 20, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hivi kwanini startv haiaki kuanzisha kipindi cha mjadala kuhusu kufutwa matokeo ya kidato cha 4 2011 . kipindi hiki kinaweza kuweka mambo sawa hasa kwa huyu mama ambae ameonekana hana tena huruma na watoto wetu.
  Mjadala huu umepemba moto hasa huko visiwani, ukiangalia tu utajua jinsi ya NECTA Ilivyoyachakachua matokeo, hii hahiaji tocho
  naamini Startv wakianzisha mjadala huu kwa kuwahusisha necta live utatoa picha halisi wa uchakachauji uliofanywa necta na sio kushabikia akina Hamad Rashid na Kafulila tu. maana startv ilikuwa hainywi maji na Hamad Rashid , kila kipindi chao utasikia Hamad tu
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,219
  Trophy Points: 280
  ojiwa na kipima joto, watoto wenu wamefanya vibaya mitihani, tena alikwenda nayo na kuionyesha, wameandika "baba ndo ananilazimisha kusoma" wengine wamejaza herufi isiyokuwepo, kuna waliochora answersheet na vituko vingine chungu tele.

  tieni msisitizo kwenye alimu sio kulalama
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hhahaha. ndalichako huyo? sijui kasoma st maana anachuki sana na waislam bibi huyo
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  kwani waliofutiwa wote waislam!?
   
Loading...