Ni sahihi kuwa Tamko la Rais ni la muhimu ktk hili na wakati huu???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sahihi kuwa Tamko la Rais ni la muhimu ktk hili na wakati huu????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pinokyo Jujuman, Feb 19, 2012.

 1. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeshangazwa sana na hoja ya wajumbe flan hapa JF kwa matamko yao juu ya suala la Mh.Mwakiembe (MB) na NW UJ; kwa kuonyesha waziwazi kumtupia lawama Mh.Rais juu ya ukimya wake kuhusiana na tatizo lililompata NW UJ; hivi kweli jaman hata hili la Mwakiembe hapa lilipo nalo shart Rais alitolee kauli?, au mwataka iundwe Tume wakat yasemekana imetamkwa na mhusika kuwa suala la tatizo lake bado halijatambulika dhahiri kuwa limesababishwa na nn?
  Tuekane sawa hapa hivi jambo gan hupaswa kutolewa kauli ya Rais?
   
 2. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu hii ni nchi ambayo kila mtu anlalamika, mawaziri wanalalamika, wabunge, mapolisi, na hata wananchi wa kawaida. Hii sio dalili nzuri hata kidogo kwa taifa linalokuwa. I think the country is lacking Leadership. somebody who can give the leadership command to the country. Rais ameshindwa kulinda mawaziri wake what about common mwananchi???? Waziri anatoa allegation kuhusu usalama wake mwaka unakatika bila ufumbuzi?? hahahaha alafu unauliza rais afanyeje??? Rais wa nchi must stand to defend his people that is why we chose him.
   
 3. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mkuu, .....................tangu imeanzishwa forum ya chit chat na kupata umaarufu wa kimbunga ndo na mimi niligundua kuwa kumbe JF imegeuka kuwa a home of great chit chatters!!....................

  nikisikia rais anatoa kauli kwa suala kama hili hata mimi nitamshangaa sana................... habari kama hizi ni size ya akina manumba tu kuzizungumzia,................

  halafu kuna huiki kitu, .....................licha ya huyo mheshimiwa mwakyembe kutoweza kuwa kazini kwa karibu mwaka sasa, hataki kujiuzulu ubunge wala uwaziri.................. anakula mshahara wa bure na marupurupu mengine kutoka kwenye kodi zetu bila kufanya kazi....................... kwa nini asijiuzulu kwa sababu za kiafya??...................
   
 4. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kauli anatakiwa kuto EL, RA na AC period
   
 5. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahaaa; hao hawawezi kutia neno usawa huu zaiidi zaidi watasema aende mahakamani
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  'it aint safe no more' huu wimbo wa rapper maarufu wa kimarekani-buster rhymes..
   
 7. g

  greenstar JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kunauhusiano mkubwa wa Richmond na SUMU aliyotegeshewa Dr.,RAIS anawajibika kuingilia kati kulinda usalama wataifa hili ili kuepusha visasi kwa kizazi na kizazi.
   
Loading...