Kikwete alikuwa shamba week end hii

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Rais Kikwete ni mkulima.na ili kuthibitisha hilo angalia hapa akiwa kwao huko msoga.

JK Shambani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Shamba hilo ni la manyasi ya kulishia mifugo kwa njia ya kisasa (zero grazing), akiwa ni mmoja wa wafugaji kijijini hapo. Rais Kikwete, ambaye aghalabu hutumia muda wake wa likizo shambani kwake, pia analima pia mananasi ambayo hustawi vizuri katika wilaya hiyo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwantumu Mahiza. kuthibitisha hilo,wkend hii ameamua kutumia mda wake shambani.
 
Mleta mada acha ujinga, Kikwete hakuwa Msoga wikiendi hii, alikuwa huko kabla ya Ijumaa, na wala hiyo picha haidhihirishi kwamba ni mkulima, zaidi sana ni photo opportunity tu ya kuhangaikia cheap publicity kama ilivyo kawaida ya watu wavivu kichwani.
 
****** analima? huyo mama ni chama na mogela kwa wakubwa ulizani ukuu wa mkoa alipata tu bila kufkuzia
 
Yule pembeni na manguo yake ya kijani nani tena? Magamba kwa kujipendekeza
 
Kama kawaida mzee wa matukio na picha kwa sana!!!!

Rais Kikwete ni mkulima.na ili kuthibitisha hilo angalia hapa akiwa kwao huko msoga.

JK Shambani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Shamba hilo ni la manyasi ya kulishia mifugo kwa njia ya kisasa (zero grazing), akiwa ni mmoja wa wafugaji kijijini hapo. Rais Kikwete, ambaye aghalabu hutumia muda wake wa likizo shambani kwake, pia analima pia mananasi ambayo hustawi vizuri katika wilaya hiyo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwantumu Mahiza. kuthibitisha hilo,wkend hii ameamua kutumia mda wake shambani.
 
Mbona amepiga picha na majani sasa!!!
Huyu mkulima kiboko!!
mso1.jpg
 
kikwete kitu alichojitahidi kukiepuka ni kitambi! ona kwenye picha ..kama obama alivyokiepuka kitambi!
 
Back
Top Bottom