Iundwe tume huru ya bunge na wadau kuchunguza ukweli wa chanzo cha maradhi ya Dk. Mwakyembe

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
Kama mkuu wa nchi hayupo tayari kuingilia kati suala la ugonjwa wa Dr.Mwakyembe,nashauri iundwe TUME HURU ya uchunguzi juu ya chanzo cha maradhi ya DR.MWAKYEMBE.Pia genge la mauaji linaloratibiwa na MAFISADI lifichuliwe na kufungwa maisha kama wauaji wengine bila kujali vyeo vyao.Pia tuombe msaada UMOJA wa MATAIFA utusaidie kwa hili ili nchi ikae kwa AMANI kama enzi za Mwl.NYERERE,HAKI za BINADAMU washirikiane nasi kuhakikisha hawa watu ni hatari hata kwa mataifa mengine.Wafutiwe URAIA wa NCHI zote walizojisajili ili tuweze kuwabana hapahapa......Hata SERIKALI ya MPITO iundwe ili Tushirikishe wapinzani wenye nia ya dhati kuleta mageuzi ya kweli.
 
Back
Top Bottom