Naibu waziri kiwembe ahamisha mwalimu baada ya kumpa mimba kukwepa skendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu waziri kiwembe ahamisha mwalimu baada ya kumpa mimba kukwepa skendo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wagagagigikoko, Feb 19, 2012.

 1. wagagagigikoko

  wagagagigikoko Senior Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KASHIFA YA NGONA IMEGONGA VICHWA VYA HABARI KATIKA JIMBO MOJAWAPO LA CCM LINALO SHIKILIWA NA NAIBU WAZIRI WA WIZARA MOJA NYETI BAADA YA NAIBU WAZIRI HUYO KUMPA MIMBA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI NA KUMUHAMISHIA DODOMA ILI KUKWEPA SOOO YA WANANCHI,

  NAIBU WAZIRI HUYO AMBAYE NI KIPENZI CHA JK AMEKUWA AKIHUSISHWA NA MAMBO YA UFUSKA MARA KWA MARA, NA HABARI ZISIZO THIBITISHWA ZINADAI HATA UNAIBU UWAZIRI ALIONAO NI FADHIRa kwa mkuu baada ya kumkuwadia mbunge wa viti maalum mkuu jina tunalo.
   
 2. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  ka umeamua kuxema xema, ka uwez nyamaza... unaogopa upo kwnye keybrd mkikutana c ndo utapaa.!!! jipange
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  This is a forum where we dare to talk openly! Mtaje tumjue huyo.
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nachukia sana uandishi wako wa kihunihuni. TOKA HAPA.
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Habri yako haijatusaidia kufahamu wala kupambanua lolote. Bora huo muda ungeutumia kulala usingizi tu badala ya kuhangaika na key board.
   
 6. wagagagigikoko

  wagagagigikoko Senior Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo cha kushangaza ni nin,huyo mwalimu c mtu mzima,kwan alilazimishwa ku do na huyo mteule wa jk?
   
 8. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  sawa mwalimu, nmekuxoma.!!! lingine.??
   
 9. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nini umuhimu wa udaku?
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Haya ndo mambo ambayo viongozi wetu wengi wa sasa wanayaweza na kuyamudu!
  Na ni jambo la kawaida nowdays mtu kupewa cheo kwa kazi ua ukuwadi au kugawa uchi.
  Tanzania ishapoteza dira.
   
 11. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hakuna kesi wala skandali. Mwalimu kajitafutia shortcut ya maisha. Sana sana asubiri kama shortcut inatokezea alikodhamiria, au kapotea. Over 18 can just do that freely.
   
 12. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,245
  Likes Received: 2,929
  Trophy Points: 280
  Mvuto umekosekana ktk thread
   
 13. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hapa sio udaku we mtaje tumfahamu mbona kenya mbunge au waziri akichemka wanamzomea kabisa redi citizen hapa unaogopa nn
  acha mambo hayo mtaje hapa fasta fasta tumwadabishe
   
 14. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mtoa mada anatakiwa kupigwa ban kwa kugeuza jukwaa kama magazeti ya shigongo! udaku udaku,mafumbo mafumbo
   
 15. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  a mere ****!
   
Loading...