uwanaharamu wa "wabeba box" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uwanaharamu wa "wabeba box"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by meningitis, Feb 20, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hivi karibuni nilihadithiwa kisa cha mbeba box mmoja alieenda ng'ambo hivi karibuni.mbeba box huyu wa kike ni graduate kutoka katika vyuo vyetu vya private na mara baada ya kumaliza masomo alisota kutafuta kazi lakini mwishoni aliitwa na mbeba box mzoefu aliyebobea huko ng'ambo.hawa wabeba box wawili ni ndugu wa damu lakini walilazimika kufunga 'ndoa' ili kumsaidia mbeba box wa kike kuweza kuingia huko majuu bila matatizo makubwa.
  hivi kuna ulazima wowote wa graduate wa kitanzania kukimbilia nje kubeba box hata kama mbinu za kwenda au kuishi huko zinadhalilisha utu wake?
   
Loading...