Ujinga wa MWANADAMU duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujinga wa MWANADAMU duniani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TASLIMU, Feb 19, 2012.

 1. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanadamu kiumbe cha ajabu yeye anatumia akili yake kutengeneza SILAA ZA MOTO(bunduki,risasi,mabomu nk)
  Hizi zote zinatumika KUANGAMIZA WANAADAMU!!
  Alafu binadamu anadai amestaarabika,tunashangaza,sijasikia kiongozi wowote wa kidunia akitaka tuondoe silaa dunian,tune na dunia hisiyo na silaa za moto
  Mwaonaje wanajamvi,,tupige ya kidunia,
  DUNIA BILA SILAA ZA MOTO INAWEZEKANA
   
 2. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ulikuwa unawaza nini?
   
 3. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Ndo kaamka kutoka kwenye hang over ya jana !
   
 4. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,118
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280
  Yes inawezekana; lakini tutarudia katika maisha ya Ice Age kupigana vita na mishale, viwembe, visu, masime, panga, na fimbo katika hii karne ya 21, je inakuja mu kichwa?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu kungekua hakuna silaha usingeweza kuandika hii sredi,kama hauamini kwanini matajiri wengi wana miguu ya kuku kiunoni?
   
 6. R

  RUTARE Senior Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nini tupigane wakati sisi tumestaarabika?
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwanzilishi wa hii thread amefikiria kwa kina sana kwakuangalia vita mbalimbali inayoendelea ktk nchi mbalimbali na uhalifu unaofanywa kutokana na hizo silaha, kwakweli nadhani kwa namna moja amani ingekuwepo
   
 8. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,118
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280
  "kwa nini tupigane wakati sisi tumestaarabika?"[/QUOTE]


  Binaadamu tunatofautiana kiakili na maadili, kamwe hatufanani na tofauti zetu zitakuwepo milele. Na hii ndiyo iliyotufanya tupigane vita toka enzi za Yesu na Mohammed na tutazidi kuuana tu mpaka milele. Kwa hiyo silaha za kisasa ni muhimu kuwa nazo kwani hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa kuwa Mwarabu na myahudi watapigana mpaka milele.
   
 9. R

  RUTARE Senior Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani sana iwe hivyo: "Na itakuwa katika siku za mwisho, mlima wa nyumba ya BWANA utawekwa imara juu ya milima, nao utainuliwa juu ya vilima; na mataifa yote watauendea makundi makundi. Na mataifa mengi watakwenda na kusema, njoni, twende juu mlimani kwa BWANA, nyumbani kwa Mungu wa Yakobo, naye atatufundisha njia zake, nasi tutakwenda katika mapito yake maana katika Sayuni itatoka sheria, na neno la BWANA Yerusalemu. Naye atafanya hukumu katika mataifa mengi, atawakemea watu wa kabila nyingi; nao watafua panga zao ziwe majembe, na mikuki yao iwe miundu; taifa halitainua upanga juu ya taifa lingine, watu hawatajifunza vita tena kamwe." (Isaya 4:2-4)
   
Loading...