SONGEA - Pametulia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SONGEA - Pametulia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LISAH, Feb 22, 2012.

 1. L

  LISAH Senior Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani vipi mapambano yamekwisha ?
  ile thread ingine ukiifwatilia haitoi majibu
  Tunaomba jibu jamani roho zetu zipoe
   
 2. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Kwa sasa pametulia kidogo.mji unalindwa na maaskari waliovalia kininja.maduka na shughuli zingine zimesimama.
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,478
  Trophy Points: 280
  leo ni songea, leo ni arusha, leo ni mbeya, leo ni mama ananile nkya
  haya mambo mpaka wapi.
   
 4. B

  Bombambili Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yote yatapita tu, hakuna lisilo na mwisho. Hebu tujuzeni ni nini kinachoendelea huko muda huu? kwani nimepata simu kutoka huko kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi ametua huko muda si mrefu...:A S embarassed:
   
 5. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka enzi za Lyatonga Mrema...Kwa majibu ya kejeli aliyotoa RPC wa Ruvuma na madhara yaliyotokea huko leo...Mzee wa kibaraghashia tayari angekuwa kisha piga chini mtu....

  Halafu ile thread ya vurugu za Songea mbona siioni...imekuwa moved wapi?Msaada wakuu.
   
 6. Stanley.

  Stanley. JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Pametulia, polisi wanashika doria ya nguvu. Mhsh Dr. Norbert Mtega ameinanga serikali kuacha majibu ya ujanja ujanja kwenye shida za wananchi. Amesema wawe wepesi kujibu kero za wananchi. Ameendelea kuwa yaliyotokea Arusha, mwanza, mbeya, tabora na songea serikali isipuuze ni ishara kuwa kuna jambo. Amewaasa vizuri sana!
   
 7. L

  LADDY PEPETA Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pametulia kiasi,hatujui wananchi wanafikiria nini,maana wenzao wameuwawa kwa risasi na polisi,hatujui hasira iliyopo mioyoni mwao,mungu atunusuru sisi wasongea isiwe kama ile vita ya wanajeshi na wananchi ya kuchomeana vitu
   
 8. d

  de bruyne Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inabidi mkuu wa polisi ajiuzulu
   
 9. L

  LISAH Senior Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tukiacha ubinafsi na unafiki haya yote yataisha
   
 10. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  ningekuwa mwananchi wa mazingira hayo,popote anapoishi polisi panatiwa moto. Ni bora hasara ya nyumba kuliko uhai wetu unaopotea sabab ya wajinga wachache wanaoshirikiana na wezi. Nawachukia polisi kuliko kawaida
   
 11. e

  environmental JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Jamani KATIBA ni muhimu sana sana sana.Mkuu wa polisi wa mkoa achanguliwe na wananchi na sio achaguliwe na Mkuu wa polisi wa nchi.TUSIMAME SISI HUKU NJE TULIANDAMANA KWENYE NCHI YA WATU MPAKA WHITE HOUSE NA TUWASILISHA MAOMBI YETU STATE DEPT. YA USA.MAFISADI WANATAPATAPA WAMEBAKIA KICHWA TU ILI WAZAME,NDIO MAANA MNAYAONA HAYA YOTE.TUPIGE KICHWA CHA HUU NYOKA ILI AFE ,ILI WATANZANIA WAWE NA HAKI,AMANI YA KWELI NA WAFURAHIE MAISHA .HAO MAFISADI HAWAFIKI MIA MBILI JAMANI.TUSIRUDI NYUMA TWENDE MBELE SHAMBULIA TU WATAKWISHA
   
Loading...