Hivi ni lini vyombo vyetu vya habari vitaripoti habari LIVE? Mfano Songea

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,749
Hili jambo linasikitisha kabisa mpaka leo tunasubiri kusomewa habari saa mbili za usiku au saa moja. Kuna tukio linatokea huko songea na tunasikia imekuwa tafrani lakini chombo chetu kama TBC sasa hivi wameweka taarabu.

Hivi ni lini tutaanza kupata habari live
 
haa unashangaa vyombo vya habari si wanaigana kaka, endapo wangeonyesha ITV basi na TBC nao haooo wngerusha, na chanel ten pia. so wanategeana nani aanze.

tbc ndo usiseme maatukio live utapata yakitokea dar, dodoma, arusha, zanzibar na mwanza, kwingineko hawana mitambo.
 
Halafu mtu anasema kwa majigambo kuwa vyombo vya habari vya Magharibi ni vya kichochezi!
 
Hili jambo linasikitisha kabisa mpaka leo tunasubiri kusomewa habari saa mbili za usiku au saa moja. Kuna tukio linatokea huko songea na tunasikia imekuwa tafrani lakini chombo chetu kama TBC sasa hivi wameweka taarabu.

Hivi ni lini tutaanza kupata habari live

Baadae sana!!!
 
hawa jamaa wanachezea akili zetu sana, wanarekodi then wanatuwekea CD, sisi ndio tunaona......dah, kweli bongo tunajua kuupepeta mdomo tu ila hakuna kitu kwenye vitendo......kujidai kwingi.....
 
Aisee hii habari recorded mimi inaniboa sana lakini mbona kwenye uchaguzi 2010 walikuwa wanaleta update kila mda au wanatangaza habari kwa msimu?
 
TBC sasa hivi hata kamera za kutosha hawana ,wameishiwa kazi yao kuomba omba tuu wapuuzi jambo zito kama hilo serikali inanyanyasa wananchi wao wanacheza taarabu ,si kuna msigwa kule kila siku habari zake zinarushwa,wako radhi watuonyeshe CCM sijui wanavuana magamba kuliko jambo la kuporwa uhai linalofanywa na serikali ya ccm
 
Hili jambo linasikitisha kabisa mpaka leo tunasubiri kusomewa habari saa mbili za usiku au saa moja. Kuna tukio linatokea huko songea na tunasikia imekuwa tafrani lakini chombo chetu kama TBC sasa hivi wameweka taarabu.

Hivi ni lini tutaanza kupata habari live

Kabla ya kulalamikia hali hiyo kwanza tujiulize ni vitu gani vinahitajika kurusha Live Coverage.kwa ufupi hapa bongo kurusha tukio lolote live itakugharumi kati ya milioni 2-5 kwa saa moja kwa kutumia Sattelite.
Hivyo ili waweze kurusha Live coverage kwa satelite bila gharama kubwa itabidi kila kituo kijisajiri kwenye satelite mfano Intelsat nk mara mbili au tatu ili wapate FEED kama wanavofanya STar TV wakirusha ktoka Dar kwenda Mwanza.

Hivyo mkuu ni ngumu kidogo kupata matukio live kwani tegemeo letu kuu ilikuwa ni Mkonga wa mawasiliano ambao hadio LEO haifanyi kazi KABISA .Kinachoweza kufanyika sasa ni kutumia labda Internet kwa moderm kitu ambacho ni gharama kubwa.

Kwa ufupi ni hayo.
 
Tukio hata likitokea posta mpya Dar hakuna chombo cha habari chenye ubavu wa kurusha live,labda liwe limeandaliwa mfano hotuba ya rais,au sherehe zingine za kitaifa!It is very sad,with 50 yrs of what we call uhuru!Wakati wa uchaguzi,reporter ndo anakuwa live ila events siyo live!Songea ni mbali na hawawezi hata kwa bunduki!Hujawahi kusikia Maulid Kitenge anatangaza habari za michezo ila anakwambia matokeo mengine ya mechi za ligi hajapata na juhudi zinaendelea?ha ha ha,ha!Tza ni zaidi ya uijuavyo!
 
Huko ni kujitetea tu mkuu,kwa ni2 sehemu nyingine waweze,sehemu nyingine washindwe.Au kwa nini mdogo aweze,mkubwa ashindwe.Kama wanaiba mabilion kinawashinda ni2 hiyo mitambo ya milioni?!Mi2 nafikiri hao ndio wanachinja watu ili waendelee kukaa madarakani.Muhando alikwishapanga mikakati mizuri na redio yake,ila wao wakaona ni vyema wazitafune wao pesa za maboresho na kuficha maovu yao!
 
...hahaaa, wanasubiri maelekezo namna ya kuripoti. Ili wahariri wanavyoona inafaa.
 
TBC sasa hivi hata kamera za kutosha hawana ,wameishiwa kazi yao kuomba omba tuu wapuuzi jambo zito kama hilo serikali inanyanyasa wananchi wao wanacheza taarabu ,si kuna msigwa kule kila siku habari zake zinarushwa,wako radhi watuonyeshe CCM sijui wanavuana magamba kuliko jambo la kuporwa uhai linalofanywa na serikali ya ccm

Msigwa hana maana.Anatangaza kwa kufuata maslahi yake.Yeye habari kama hiyo anaiweka chini.Baada ya watu kuandamana na vurugu kubwa kutokea namwona na kamera yake anahangaika mitaani.Mshenzi mkubwa huyu.
 
Hili jambo linasikitisha kabisa mpaka leo tunasubiri kusomewa habari saa mbili za usiku au saa moja. Kuna tukio linatokea huko songea na tunasikia imekuwa tafrani lakini chombo chetu kama TBC sasa hivi wameweka taarabu.

Hivi ni lini tutaanza kupata habari live
huu utamaduni nahisi hatunao lakini kwa karne hii kama hatupewi habari motomoto hawajifunzi kwa wenzao
 
Maana siku zinazidi kusonga mbele bado tunaletewa habari saa mbili au saa moja usiku tu
 
wapumbavu hawa,mnakumbuka hata ile ishu ya meli kuzama zenji??upumbavu mwengine wanarusha live
 
Hili jambo linasikitisha kabisa mpaka leo tunasubiri kusomewa habari saa mbili za usiku au saa moja. Kuna tukio linatokea huko songea na tunasikia imekuwa tafrani lakini chombo chetu kama TBC sasa hivi wameweka taarabu.

Hivi ni lini tutaanza kupata habari live

kaka kwa suala technologie itatatuchukua muda sana na sababu ya msingi hakuna.kwasababu uwezo wa kufanya live coverage upo sana,tatizo watakosa pesa za posho na safari.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom