Mh edward lowasa lini utafika mbeya katika ziara ya nyumba za ibada?

Nyamemba

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
845
446
Katika kile kinachoonekana kama kutafuta utakaso baada ya kubaniwa mjengoni,mzee EL amekuwa akizungukia nyumba za ibada hasa makanisa ili kujaribu angalau kurudisha uhai wake kijamii hasa baada ya kile rais jk alichokiita ajali ya kisiasa alipojiuzulu,napenda kuwaulizeni ninyi wapambe wa mh EL kuwa ni lini mtamwandalia ratiba ya kuja huku nyanda za juu hasa MBEYA?
 
naomba mnijuze ninyi mitume wa mh EL kuwa ni lini atafika huku kwetu mbeya kuusaka utakaso?
 
hheeeee labda aje na sugu otherwise kitamkuta kilichowakuta kikwete na nahodha
 
naomba mnijuze ninyi mitume wa mh EL kuwa ni lini atafika huku kwetu mbeya kuusaka utakaso?

aje kufanya nini mbeya, mwache aende kwa wanaodanganyika na kusahau haraka mbeya hakuna vilaza bwana wasijempiga mawe bure!
 
Mh kwa wapemba wa Kyela!
Siasa za M BEYA NI ZAIDI YA ARUSHA, SUJUI ANALIJUA HILI?
 
Atakuja kyela kwenye harambe ya kanisa katoliki . Subirini na nyie mtapata zamu ya kupitiwa na laigwanan mkuu.
 
Ni kweli anatakiwa kuja apime joto la kisiasa la Mbeya. Tena mapokezi yake yaratibiwe na Mwakyembe na Mwandosya na kisha akitoka aelekee Urambo huko naye mzee six ampokee.
 
Nasikia ana ratibaa ya Kyela, na huko Kyela alishawahi kunusurika Kipigo kwenye. Mazishi ya Bruno Mpangala
Katika kile kinachoonekana kama kutafuta utakaso baada ya kubaniwa mjengoni,mzee EL amekuwa akizungukia nyumba za ibada hasa makanisa ili kujaribu angalau kurudisha uhai wake kijamii hasa baada ya kile rais jk alichokiita ajali ya kisiasa alipojiuzulu,napenda kuwaulizeni ninyi wapambe wa mh EL kuwa ni lini mtamwandalia ratiba ya kuja huku nyanda za juu hasa MBEYA?
 
Katika kile kinachoonekana kama kutafuta utakaso baada ya kubaniwa mjengoni,mzee EL amekuwa akizungukia nyumba za ibada hasa makanisa ili kujaribu angalau kurudisha uhai wake kijamii hasa baada ya kile rais jk alichokiita ajali ya kisiasa alipojiuzulu,napenda kuwaulizeni ninyi wapambe wa mh EL kuwa ni lini mtamwandalia ratiba ya kuja huku nyanda za juu hasa MBEYA?

utakapomuhitaji wewe
 
msaidie kwanza kufanya utafiti.
1. Ni kanisa gani mbeya lenye watu wa kutosha? sio kila kanisa ni la kujitakasa, kuna mengine hata kuibgia sio lazima
2. Kanisa gani lenye watu wengi, wana mpango wa kujenga shule au zahanati alete mamilioni yetu.

Lowasa hutembea kwa ramani maalumu, sio kila eneo ni la kuingia
 
Ahaa kumbe huku ndo adui wake wapo. MWAKYEMBE na MWANDOSYA, mh cpati picha na hv Mwakyembe anaumwa kyela waweza piga lowassa manake mhh.
 
Back
Top Bottom