Ufisadi wa kutisha maliasili!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
ufisadi wa kutisha MALIASILI,
Kamati ya Bunge yabaini matumizi holela ya fedha,wizara yakiri kutofahamu idadi ya watalii waingiao chini,yapata hati chafu miaka mitatu mfululizo,
Akifafanua zaidi mwenyekiti wa kamati ya Bunge mh JONH CHEYO hesabu zinaonyesha mwaka 09 makusanyo ni trilion 1.7 zilipelekwa serikalini bln77.mwaka 010 ni trillion 1.2 serikalini bln52.
Chanzo MAJIRA NO:6617 TAREHE 17.FEB.12
Kazi kwenu wana jf sasa kichangia hii inshu.
 
Mhh hii inshu niliona hapa na Tv some weeks ago(2)...leo imewekwa tena...anyway kwa wasioiona wataijadili
 
kondoo mwenye mwanya?mmbadooo!mbuzi jike anarembua?mmbadooo!kuku nataga dhahabu mmbadooo!!!!watu naiba twiga napakia kwenye ndege ya jeshi?mmbadooo!!!!hata hiyo mmbadooo???????????
Watu naiba barafu ya mount kilimanjaro?mmbadooo!!!!
We bado ona???????????
 
ufisadi wa kutisha MALIASILI,
Kamati ya Bunge yabaini matumizi holela ya fedha,wizara yakiri kutofahamu idadi ya watalii waingiao chini,yapata hati chafu miaka mitatu mfululizo,
Akifafanua zaidi mwenyekiti wa kamati ya Bunge mh JONH CHEYO hesabu zinaonyesha mwaka 09 makusanyo ni trilion 1.7 zilipelekwa serikalini bln77.mwaka 010 ni trillion 1.2 serikalini bln52.
Chanzo MAJIRA NO:6617 TAREHE 17.FEB.12
Kazi kwenu wana jf sasa kichangia hii inshu.

Kama wana ubavu wachukue hatua kwa wale wanaopeleka twiga wazima nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom