Waziri wa Viwanda na Biashara afanya ziara kiwanda cha chuma cha Lodhia Steel Industries Ltd.

maranduhussein

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
267
128
Wadau muda mfupi uliopita,Waziri wa Viwanda na Biashara Mh.Cyril Chami akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Malongo na msafara wao wamefanya ziara fupi katika kiwanda cha Lodhia Steel Industries Ltd(zamani Trishala Rolling Mills Ltd) pamoja na kutembelea kiwanda kingine jirani cha Lodhia Plastic.

Cha ajabu Waheshimiwa hao wala hawakuonana na wafanyakazi kujua hata kile kinachowasibu bali walipita tu wakiongozana na Meneja mwajiri na Kaimu Meneja Mkuu,wakazunguka zunguka mara haoooo wakaishia.Tanzania yetu hii!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom